Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Usituzuge bana.Unaamini katika Freemasonry.Na Free masonry wanasema according to Chande hawamu- initiate mtu mpaka awe mkristo au muislamu(awe na dini)
sio dini mbili tu,huwezi kuwa freemason kama huamini uwepo wa mungu,uwe hindu,budha etc
 
Kuna mtu aliwahi kujisifu kuwa hajawahi kufiwa.mungu akaona majigambo ndipo walianza kuondoka mmojammoia ndugu zake.hata kuumwa we mshukuru mungu tu
 
Kuna mtu aliwahi kujisifu kuwa hajawahi kufiwa.mungu akaona majigambo ndipo walianza kuondoka mmojammoia ndugu zake.hata kuumwa we mshukuru mungu tu

Kwa nn unaamini kila ktu MUNGU(kama yupo) kafanya?,Kwa nn mungu amkomoe kiumbe wake??,unadhani alitenda haki?,Na una uhakika gani kwamba mungu ndo alifanya hivo?
 
kwa uwezo wa MUNGU hata mimi mara ya mwisho niliumwa mwaka 2004/5 nikiwa bagamoyo.
Ila mimi nazingatia sana maombi, mazoezi na mazingira safi na salama.
 
sasa ww unasema miaka 7 mm tangu nimalize darasa la saba na sasa hv nina familia cjawah kuumwa
 
Mi mwenyewe sikuwahi kuugua toka 1989 nikaja ugua malaria 1999 nikiwa songea yaani libaki kiduchu nichomoke !! sitakaa nisahau ile homa we endelea kujisifu,na uzoefu unaonyesha kila anayebeza uwepo wa Mungu hufa !!
 
kwahiyo unataka kuumwa? na ukimuwa kwaheri, na hivi huamini Mungu, hata parapanda hautapigiwa.
 
nani alokuambia kwamba huumwi chochote??

je umepima afya yako mara ya mwisho?? nikimaanisha damu, mkojo, choo, makamasi, x-ray ya mapafu, umecheki lini figo zako, maini, kongosho na moyo??

je unauhakika uwezo wa macho yako kuona uko sawa?? maskio je kuskia?? pua je kuona? ulimi je kuonja? ngozi je kuhisi?? je body equilibrium and acceleration ziko sawa?? tissue regeneration je ziko poa?? unapata haja kubwa mara ngapi?? na je mara ya mwisho kujamba ni lini?? una cheua inavyotakiwa?? n. k

yapo mengi sana ila nijibu kwanza hapo

wabongo kuumwa tunachukulia,malaria na UTI basi.
 
Mi mwenyewe sikuwahi kuugua toka 1989 nikaja ugua malaria 1999 nikiwa songea yaani libaki kiduchu nichomoke !! sitakaa nisahau ile homa we endelea kujisifu,na uzoefu unaonyesha kila anayebeza uwepo wa Mungu hufa !!

Mbona wanihukumu kwa kosa lisilo langu??,kwa nn unanisingizia?,umesoma uzi uaelewa ama umekariri?,Wapi nimejisifu kuwa sijawahi kuumwa!?,Kwako wewe kujicfu ina maana gani?,Soma vizur uzi na ukikuta mahala nimejisifu thibitisha hapa.

Unaongelea uwepo wa mungu yupi??,Una uhakika gani kwamba kila aliyembeza Mungu wako(kama yupo) alikufa?,Uzoefu gani unaongelea?
 
Acha kulialia wewe anakusingizia nani lete majibu ya vipimo ulivyopima ndio tujue we huumwi !!
 
Kwanza ninakuomba kijana ufahamu kwamba MUNGU YUPO nandiye aliyekuuumba na aliruhusu uwepo wako mpaka hapo ulipo. Upende usipendeMUNGU yupo ndio maana tuna,shuhudia kwa matendo yake na alisema kwenye nenolake kwamba baada ya mwanadamu wa kwanza kuasi sheria ya Mungu akatoa laanaakamwambia mwanadamu wa kwanza Adam kama laana kwamba kufa hakika mtakufa nandio tunashuhudia kifo tukipoteza ndugu zetu na sisi wenyewe tutakufa kutokanana neno lake. Licha ya kutokuugua kwako lakini siku moja utapitia andiko lake. NENDAUKAFANYE CHECK UP KAMA ALIVYOLUELEZA MTU HAPO JUU.
 
Acha kulialia wewe anakusingizia nani lete majibu ya vipimo ulivyopima ndio tujue we huumwi !!

Najua huwezi kujibu nilichokuuliza ndo mana unakwepa.,nadhan hata kanisan ama msikitini unaenda kwa mazoea.
 
Da mimi kila wiki naumwa malaria..


Pole sana. Hali hiyo itakwisha tu. Nilikuwa nasumbuliwa kama wewe na niliambiwa mimi ni kloniki malaria kwa muda mrefu zaidi ya miaka 10 wakati huo nilikuwa naishi dar... nilikuwa natumia chloroquine zilizoharibu macho yangu baadaye nikatumia quinine. Nilipoanza kazi na kuhamia Tanga nilishangaa nimepitisha mwezi, miezi mara mwaka bila kuumwa. Nikawa nimepona kabisa sijaumwa umwa tena.
 
Kwanza ninakuomba kijana ufahamu kwamba MUNGU YUPO nandiye aliyekuuumba na aliruhusu uwepo wako mpaka hapo ulipo. Upende usipendeMUNGU yupo ndio maana tuna,shuhudia kwa matendo yake na alisema kwenye nenolake kwamba baada ya mwanadamu wa kwanza kuasi sheria ya Mungu akatoa laanaakamwambia mwanadamu wa kwanza Adam kama laana kwamba kufa hakika mtakufa nandio tunashuhudia kifo tukipoteza ndugu zetu na sisi wenyewe tutakufa kutokanana neno lake. Licha ya kutokuugua kwako lakini siku moja utapitia andiko lake. NENDAUKAFANYE CHECK UP KAMA ALIVYOLUELEZA MTU HAPO JUU.

Unaweza nambia mwanadam wa kwanza kwa nn aliasi!?,na nani aliyemsababisha akaasi??,Na je mungu hakujua kwamba ataasi??
 
We ungekuwa wa kanisani au Msikitini usingeweza kuweka AVATAR kama hiyo jipeleleze !!!
 
Back
Top Bottom