Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Free ideas

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
3,508
Reaction score
2,060
Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda Hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,Kwa hesabu ya haraka ni kama miaka SABA,sasa imepita.Mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,Falsafa na Sayansi.Japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

LEngo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,Maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

Em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

Tafadhali usihusishe hili jambo na MUNGU(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....
 
hiyo kawaida mimi pia huwa siumwi mara ya mwisho nililazwa hosp mwaka 2000 tangu wakati huo mpk leo sijawah umwa ugonjwa wowote, zaidi ya mafua endapo nitakumbana na vumbi
 
Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda Hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,Kwa hesabu ya haraka ni kama miaka SABA,sasa imepita.Mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,Falsafa na Sayansi.Japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

LEngo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,Maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

Em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

Tafadhali usihusishe hili jambo na MUNGU(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....

Hapo kwenye nyekundu tayari umeshaanza kuchuja wachangiaji kama sio kufanya wachangie uzi kwa jazba.

Sasa kama huamini uwepo wa Mungu, unamtaja wa nini na kwa nini ufikiri kila atakechangia atamtaja, na ni lazima unavyoamini wewe kila mtu aaamini hivyo?

Mie nakumbuka shule ya msingi kuna mwanafunzi ambaye alipewa zawadi ya kutokukosa kuhudhuria shule hata siku moja kwa sababu yeyote ile ikiwamo ya ugonjwa.
 
yan huamini kama kuna Mungu. Mmh! mtoto wa Kingunge
 
Hapo kwenye nyekundu tayari umeshaanza kuchuja wachangiaji kama sio kufanya wachangie uzi kwa jazba.

Sasa kama huamini uwepo wa Mungu, unamtaja wa nini na kwa nini ufikiri kila atakechangia atamtaja, na ni lazima unavyoamini wewe kila mtu aaamini hivyo?

Mie nakumbuka shule ya msingi kuna mwanafunzi ambaye alipewa zawadi ya kutokukosa kuhudhuria shule hata siku moja kwa sababu yeyote ile ikiwamo ya ugonjwa.

Nimeandika hivo kwa kuwa nilijua habar kma hizo hazitakosa,kwamba mara mungu mkubwa mara sali sana. n.k
 
Nimeandika hivo kwa kuwa nilijua habar kma hizo hazitakosa,kwamba mara mungu mkubwa mara sali sana. n.k

Nimekupata mkuu na nnashukuru kwa majibu yako, hebu tupe siri ya mafanikio yako (Kuto kuumwa kwa takriban kipindi cha miaka saba). Japo haujaeleza ukisema haujaumwa ni kwa kiwango gani, unamaanisha hata mafua, kichwa kugonga homa n.k?
 
MKUU mbona kawaida sana mm kitambo sana nilikaa zaidi ya miaka 20 bila kuumwa ila nimekuja kuumwa mwezi uliopita tena nimeumwa typhoid kizembe sana
ugali nyama Choma ndio umenipa ugonjwa huo sababu ya makachumbali .

yaani mpaka ndugu zangu walishangaa ila sasa chaajabu nilipewa doZi yakutumia kama 1 week naushee hivi mm nilikunywa siku 2 nilipoona Niko POwa kiaina dozi nikatupa mbali .

now Niko poa mwendo mdundo.
 
Hujui maana ya kuumwa hata Mafua ni ugonjwa cku ukiumwa kifaduro tuna Ku R.I.P
 
nani alokuambia kwamba huumwi chochote??

je umepima afya yako mara ya mwisho?? nikimaanisha damu, mkojo, choo, makamasi, x-ray ya mapafu, umecheki lini figo zako, maini, kongosho na moyo??

je unauhakika uwezo wa macho yako kuona uko sawa?? maskio je kuskia?? pua je kuona? ulimi je kuonja? ngozi je kuhisi?? je body equilibrium and acceleration ziko sawa?? tissue regeneration je ziko poa?? unapata haja kubwa mara ngapi?? na je mara ya mwisho kujamba ni lini?? una cheua inavyotakiwa?? n. k

yapo mengi sana ila nijibu kwanza hapo
 
........kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....

Hapa napo pana mjadala mwingine ila kwa kuwa hilo sio lengo kuu la huu uzi, naomba unijibu hapo unamaanisha nini kama hautajali.

Nakumbuka kuna kipindi hatukufikia muafaka kuhusu hili jambo, la kuamini, kujua/kufahamu. Kuna vitu wewe unafikiri unavifahamu kwa kupitia ulichojifunza au kusikia kwa mtu mwingine, kusoma kwenye kitabu au kufundishwa. Ila hilo lisituharibie uzi huu na kututoa kwenye suala la kutoumwa kwa miaka 7.
 
mimi mwenyewe niliumwa mara ya mwisho nikiwa form three 1998, pale Old Moshi Sekondari, mpka leo cjaumwa! ni kudra za Maulana
 
Back
Top Bottom