Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Umekariri ujinga tu, hapa jf hatutumii midomo kutoa comments bali ni vidole ndio vinatumika kutype.

siku nyingine ukitaka mtu fulani tu ndio akujibu mtumie pm hapa ni open forum.

atheist ni society inayokuwa kwa kasi sana duniani na kutishia wafuasi wa imani nyingine. huwezi kuwakabiri hawa kwa hoja za kuwatishia mungu bali kuwathibitishia uwepo na uwezo wake.

Maka ...lio kweli wewe, naona leo umeamka vibaya, kanywe dozi!
 
Umekariri ujinga tu, hapa jf hatutumii midomo kutoa comments bali ni vidole ndio vinatumika kutype.

siku nyingine ukitaka mtu fulani tu ndio akujibu mtumie pm hapa ni open forum.

atheist ni society inayokuwa kwa kasi sana duniani na kutishia wafuasi wa imani nyingine. huwezi kuwakabiri hawa kwa hoja za kuwatishia mungu bali kuwathibitishia uwepo na uwezo wake.

Mwenzko anasema hajaumwa miaka saba, mimi nafikiri wewe unaumwa zaidi ya miaka saba, check your mental status, you need re - evaluation!
 
Umekariri ujinga tu, hapa jf hatutumii midomo kutoa comments bali ni vidole ndio vinatumika kutype.

siku nyingine ukitaka mtu fulani tu ndio akujibu mtumie pm hapa ni open forum.

atheist ni society inayokuwa kwa kasi sana duniani na kutishia wafuasi wa imani nyingine. huwezi kuwakabiri hawa kwa hoja za kuwatishia mungu bali kuwathibitishia uwepo na uwezo wake.

umenena cha maana muu,hawa jamaaa hawajawahi kuthibithisha kuwa"" mungu yupo ""
 
Watu wa namna yako wako wachache sana,na usidhani kuwa hiyo ni kawaida maana wengi huwa mwaka haukatiki bila kuugua.

Sasa ungekuwa unaamini ningekwambia mshukuru Mungu,hivyo nakwambia mshukuru anayekufanya usiugue.

Asante,ila simfahamu hata huyo anaenifanya nisiugue,.na kwa nini unaamini kwamba kuna anaenifanya nisiugue??,
Maana kama yupo anayenifanya nisiugue basi yupo pia anayefanya watu wengine waugue,.na kama yupo je ni nani??,
 
Free ideas anaandika kila anachofikirin, huwa hafanyi mrejeo na kutafakari kabla ya kuandika, nilikuwa nafikiri namna ya kukumbusha atuambie nini maana ya kuugua,ili tujue kama kweli hajaugua zaidi ya miaka 6. Isijekuwa kutokuugua kwake ni kutojitokeza kwa dalili, angesema ameenda kufanya thorough medical check up na kaambiwa kwamba vipimo vimeonyesha kwamba yuko 100% perfect angekuwa na hoja.
kutokuumwa kichwa,kutokuumwa tumbo, kutokuharisha au kutojisikia maumivu ya mwili hakumaanishi huumwi. Soma andiko gfsonwin tafakari upya ndiyo uje na hoja yako,Pamoja na kwamba unashauriwa usiandike pasipo kufikiri lakini usiandike kila unachofikiri pia.
Kajichunguze hata tezi dume usije chelewa...

Hapana,hauko sahihi,siandiki kila ninacho fikiri bali nafikiri kila ninachoandika.,Na pia nimetafakari kabla ya kuandika,.Kwa hiyo hoja yako hapo haipo.
Maana ya kuugua nadhani unaijua na huna haja ya kuuliza.

Hahha,nimecheka ,tezi dume ziko poa!,
 
Last edited by a moderator:
Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda Hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,Kwa hesabu ya haraka ni kama miaka SABA,sasa imepita.Mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,Falsafa na Sayansi.Japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

LEngo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,Maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

Em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

Tafadhali usihusishe hili jambo na MUNGU(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....
Usituzuge bana.Unaamini katika Freemasonry.Na Free masonry wanasema according to Chande hawamu- initiate mtu mpaka awe mkristo au muislamu(awe na dini)
 
Kwa nn unadhani naamini katika Masonic ??,Mimi sina na sijawahi kuwa na dini na sitakuwa na dini.na sitaamini katika chochote daima.
 
mimi mwenyewe niliumwa mara ya mwisho nikiwa form three 1998, pale Old Moshi Sekondari, mpka leo cjaumwa! ni kudra za Maulana

Ati, umesema Old Moshi? Hiyo itakua ilikua Nairobi fly tu wamekutembelea, old moshi Kilimanjaro water fultime kuanzia bafuni, uwani na kila kona yaani ni burdani. Achilia mbali upishi uliobobea wa Mzee Ommy na perege za kudumbukiza kwenye mboga za majani huku pembeni una maharage yenye parachichi, sijagusia chai ya asubuhi na mabubu hapo!
 
Miaka saba tuu. Wengine maisha yanaenda tuu hata malaria naisikia tuu. Ni kumshukuru Mungu.
 
Life is real unfair!!!

Mwenyewe huu mwaka wa Saba toka nianze kuumwa.
It was Brucellosis and now Peripheral neuropathy and G.Bare Syndrome.
 
Ungesema nimekuwa nikipimwa na sikutwi na tatizo lolote. Sio sijaumwa,thats too general.
 
Kwa nn unadhani naamini katika Masonic ??,Mimi sina na sijawahi kuwa na dini na sitakuwa na dini.na sitaamini katika chochote daima.
May be Tusikuhukumu.Maana unavyoishadadia na kui promote sio kawaida.Kama bado hujaingia basi unawaamini(ambayo still ni imani/dini)
 
usiishi kwa kukariri ndugu,mimi niko tofauti tu na wengi wnavofikiri,napenda kufanya kilicho moyoni sio kwamb nn flani anafanya.Naamini sana katika kuhoji na kujua kuliko kudhan na kuashum.,Napenda evidence kuliko kuliko kuamni kwa sababu iko hivo.
 
Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda Hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,Kwa hesabu ya haraka ni kama miaka SABA,sasa imepita.Mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,Falsafa na Sayansi.Japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

LEngo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,Maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

Em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

Tafadhali usihusishe hili jambo na MUNGU(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....
unatumia condom mda wote?
 
Life is real unfair!!!

Mwenyewe huu mwaka wa Saba toka nianze kuumwa.
It was Brucellosis and now Peripheral neuropathy and G.Bare Syndrome.
peripheral neuropathy ni noma,itakuchukua hata miaka 20 halafu ni kama haina dawa asee.

Zamani mtu miguu ikiwa inawaka moto anaconclude karogwa,kumbe wapi.
 
Back
Top Bottom