Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda Hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,Kwa hesabu ya haraka ni kama miaka SABA,sasa imepita.Mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,Falsafa na Sayansi.Japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

LEngo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,Maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

Em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

Tafadhali usihusishe hili jambo na MUNGU(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....
Mazee kuwa careful ,tafadhali kacheki afya yako mara moja maana ukiugua leo ni pamoja na kuchomoka. wataki oh karogwa,so please do medical check up periodically atleast annualy.
 
Uwezo wa asili wa kimazingira hauhusiki na kinachoendeleza mambo yako Mkuu...kwa maana wewe huamini katika chochote kama ulivyosema pale juu.

Inahusika sana ,kwa sababu sina tofauti na viumbe hai vingine hasa tukiandalia kayika sense ya uhai
 
mimi mwenyewe niliumwa mara ya mwisho nikiwa form three 1998, pale Old Moshi Sekondari, mpka leo cjaumwa! ni kudra za Maulana

Vijana wa Rwamwasi mna mbwembwe sana. Maji ya kunywa ni natural Kilimanjaro, tena unakinga bafuni.
 
Nahisi Elimu yako ni ndogo sana, pamoja na kusoma ma vitabu yooote hayo uelewa ni zero,

kuumwa wewe unaona ni vile mwili wako unazungumza kwa nje kama vile maumivuya mwili, homa kali,upele,kichwa kuuma basi.

lakini kuna silent killer diseases kama Hypertension, Brain tumour,etc. Diabetic keto acidosis, BMI ikiwa above normal range ni ugonjwa, ukila michicha ya mabibo bondeni, yaani ukinenepa sana kuliko urefu wako, ukiishi uswahilini ni mgonjwa bado,you are walking dead.
 
Upumbavu ni ugonjwa,

Wewe ni mpumbavu Siyo mjinga, haya si maneno yangu, yamekuwa prophecised long time ago,,,

Biblia inasema ''wapumbavu hunena mioyoni mwao hakuna Mungu'' alisema kwa kinywa chake mwenyewe, ungei soma hiki kifungu kabla usingekuja hapa' ajabu mpaka leo msomi kama msomi wa falsafa unajianika hapa in front of our eyes nonetheless in a broad day light out of shameful, eti hauamini Mungu? siyo sifa, ni sifa za kijinga. you are beyond repentant like your father satan.

Nakushauri usome God wisdom, jaribu ku lazimisha, hautadhalilika kirahisi hivi.

Heri mjinga kuliko mpumbavu, mjinga utamfundisha kirahisi sana ataelewa sababu shida ya ke ni kutojua.

But mpumbavu hata ikitokea ukamsagasaga kama unga then ukamuumba upya, atakuwa na upumbavu wake mle mle.haisaidii kubadili upumbavu.
 
Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda Hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,Kwa hesabu ya haraka ni kama miaka SABA,sasa imepita.Mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,Falsafa na Sayansi.Japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

LEngo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,Maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

Em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

Tafadhali usihusishe hili jambo na MUNGU(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....
Una Miaka 7 unatafuta nini huku jf kwa baba zako. Haya toka mbio.
 
Back
Top Bottom