Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Nina miaka 7 sijaumwa, wala kumeza Dawa

Nimekupata mkuu na nnashukuru kwa majibu yako, hebu tupe siri ya mafanikio yako (Kuto kuumwa kwa takriban kipindi cha miaka saba). Japo haujaeleza ukisema haujaumwa ni kwa kiwango gani, unamaanisha hata mafua, kichwa kugonga homa n.k?

Namaanisha sijawahi kupata tatizo lolote linalohusiana na maumivu ya kuugua kupelekea kwenda hospital
 
nani alokuambia kwamba huumwi chochote??

je umepima afya yako mara ya mwisho?? nikimaanisha damu, mkojo, choo, makamasi, x-ray ya mapafu, umecheki lini figo zako, maini, kongosho na moyo??

je unauhakika uwezo wa macho yako kuona uko sawa?? maskio je kuskia?? pua je kuona? ulimi je kuonja? ngozi je kuhisi?? je body equilibrium and acceleration ziko sawa?? tissue regeneration je ziko poa?? unapata haja kubwa mara ngapi?? na je mara ya mwisho kujamba ni lini?? una cheua inavyotakiwa?? n. k

yapo mengi sana ila nijibu kwanza hapo

na ukimwi pia!
 
Kama huamini mungu yupo utakua mfuasi wa shetani bekieve me hakuna mtu ambaye yupoyupo tu lazima awe controlled by natural power either god/saturn
 
Sidhani Kama ni tatizo hila siku ikitokea ukaumwa Mara nyingi utaugua vibaya sana, nikutakie afya njema.
 
Namaanisha sijawahi kupata tatizo lolote linalohusiana na maumivu ya kuugua kupelekea kwenda hospital

Nimekuelewa, tafsiri ya kuumwa na ulivyolitumia hilo neno hapa ndio ilikua inanitatiza! kwa muktadha huu, tunaenda sawa.
 
Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda Hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,Kwa hesabu ya haraka ni kama miaka SABA,sasa imepita.Mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,Falsafa na Sayansi.Japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

LEngo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,Maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

Em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

Tafadhali usihusishe hili jambo na MUNGU(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....

maelezo yako yana walakini ungesema hujaumwa kwa muda wa miaka 7 na uwa unafanya check up kila mwezi ungeeleweka.
 
Unaona sifa kujisifia hujaumwa wakati wengi wako hospitali taabani?. Ulitakiwa umshukuru mungu kimyakimya kwa kuendelea kukupa afya njema.
 
Mshukuru mungu......!!
usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,tangu mwaka 2007/6,nilienda hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,kwa hesabu ya haraka ni kama miaka saba,sasa imepita.mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,falsafa na sayansi.japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

Lengo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

tafadhali usihusishe hili jambo na mungu(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....
 
Usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,Kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,Tangu mwaka 2007/6,nilienda Hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,Kwa hesabu ya haraka ni kama miaka SABA,sasa imepita.Mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,Falsafa na Sayansi.Japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

LEngo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,Maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

Em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

Tafadhali usihusishe hili jambo na MUNGU(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....

nani alokuambia kwamba huumwi chochote??

je umepima afya yako mara ya mwisho?? nikimaanisha damu, mkojo, choo, makamasi, x-ray ya mapafu, umecheki lini figo zako, maini, kongosho na moyo??

je unauhakika uwezo wa macho yako kuona uko sawa?? maskio je kuskia?? pua je kuona? ulimi je kuonja? ngozi je kuhisi?? je body equilibrium and acceleration ziko sawa?? tissue regeneration je ziko poa?? unapata haja kubwa mara ngapi?? na je mara ya mwisho kujamba ni lini?? una cheua inavyotakiwa?? n. k

yapo mengi sana ila nijibu kwanza hapo

Free ideas anaandika kila anachofikirin, huwa hafanyi mrejeo na kutafakari kabla ya kuandika, nilikuwa nafikiri namna ya kukumbusha atuambie nini maana ya kuugua,ili tujue kama kweli hajaugua zaidi ya miaka 6. Isijekuwa kutokuugua kwake ni kutojitokeza kwa dalili, angesema ameenda kufanya thorough medical check up na kaambiwa kwamba vipimo vimeonyesha kwamba yuko 100% perfect angekuwa na hoja.
kutokuumwa kichwa,kutokuumwa tumbo, kutokuharisha au kutojisikia maumivu ya mwili hakumaanishi huumwi. Soma andiko gfsonwin tafakari upya ndiyo uje na hoja yako,Pamoja na kwamba unashauriwa usiandike pasipo kufikiri lakini usiandike kila unachofikiri pia.
Kajichunguze hata tezi dume usije chelewa...
 
Last edited by a moderator:
Watu wa namna yako wako wachache sana,na usidhani kuwa hiyo ni kawaida maana wengi huwa mwaka haukatiki bila kuugua.

Sasa ungekuwa unaamini ningekwambia mshukuru Mungu,hivyo nakwambia mshukuru anayekufanya usiugue.
 
nani alokuambia kwamba huumwi chochote??

je umepima afya yako mara ya mwisho?? nikimaanisha damu, mkojo, choo, makamasi, x-ray ya mapafu, umecheki lini figo zako, maini, kongosho na moyo??

je unauhakika uwezo wa macho yako kuona uko sawa?? maskio je kuskia?? pua je kuona? ulimi je kuonja? ngozi je kuhisi?? je body equilibrium and acceleration ziko sawa?? tissue regeneration je ziko poa?? unapata haja kubwa mara ngapi?? na je mara ya mwisho kujamba ni lini?? una cheua inavyotakiwa?? n. k

yapo mengi sana ila nijibu kwanza hapo

mwe! shikamoo mwalimu.
 
Unaona sifa kujisifia hujaumwa wakati wengi wako hospitali taabani?. Ulitakiwa umshukuru mungu kimyakimya kwa kuendelea kukupa afya njema.
sasa amshukuru mungu vipi wakati yeye haamini kama kuna mungu?
 
usiku kama huu huwa nautumia kutafakati mambo mengi ambayo yanahusu maisha yangu kwa ujumla.,kuna jambo ambalo binafsi naona kama ni vigumu lakini ndo ukweli wenyewe..,tangu mwaka 2007/6,nilienda hospital kwa mara ya mwisho nilipokuwa nasumbuliwa na tumbo,sijawahi kuugua hadi leo hii naandika uzi huu.,kwa hesabu ya haraka ni kama miaka saba,sasa imepita.mimi c mtu wa kufanya mazoezi mara kwa mara ila ni mpenzi wa kusoma vitabu hasa vya history,falsafa na sayansi.japo nikipata muda huwa nafanya mazoezi japo kukimbia.

Lengo la kuandika uzi huu ni kutaka kujua kama kuna wengine pia ambao hali kma hii inawakuta!,maana kila ninayemwambia jambo hili anashtuka na kusema kwamba sio kweli hata kidogo.,

em nambie na wewe unachukuliaje hali hii,

tafadhali usihusishe hili jambo na mungu(kama yupo), kwa maana mimi siamini katika chochote!,karibuni.....

ndauli!!!!!!

Mzima wwe??

ndahiyeela,alimtamwa beeh
 
Umetumwa? Kwani yeye hana mdomo!

Kuna siku ataelewa kama mungu yupo au hayupo!
Umekariri ujinga tu, hapa jf hatutumii midomo kutoa comments bali ni vidole ndio vinatumika kutype.

siku nyingine ukitaka mtu fulani tu ndio akujibu mtumie pm hapa ni open forum.

atheist ni society inayokuwa kwa kasi sana duniani na kutishia wafuasi wa imani nyingine. huwezi kuwakabiri hawa kwa hoja za kuwatishia mungu bali kuwathibitishia uwepo na uwezo wake.
 
Back
Top Bottom