Nina miaka 40 nataka nirudie kusoma tena kuanzia Form One

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Sheria inasemaje kuhusu hili?

Ikiwa mtu umeamua tu kuanza kusoma upya toka elimu ya form one? na ukafuata utaratibu wote kama vile ada, sare n.k

Kiufupo nimemiss tu kuwa darasani na kufundishwa/ kukumbushwa yale niliyosomaga 20yrs back.

Sio kwa ajili ya kupass na kupata pesa hapana..ni katika kuupdate tu ubongo wangu
 
Back
Top Bottom