heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,267
mwanaume usiwe na hofu wewe unaweza pachika mimba mabinti watano so ukapata watoto watano ndani ya mwaka ila mwanamke akiwa 30 hana mtoto ajitafakari sana
Fafanua kidogo bossSo ushauri wangu acha kujilinganisha na wengine. Kuzaa mapema sio assurance ya kua na watoto
Fafanua kidogo bossSo ushauri wangu acha kujilinganisha na wengine. Kuzaa mapema sio assurance ya kua na watoto
Na hivi watoto wa kike wanakuwa haraka, ukiuona nae unaweza kusema ni mdogo wangu.aigooo
Brother zangu walipata watoto na juu ya miaka 30 mmoja alipata akiwa na miaka 32 mimi Nina 27 now ila wazo la kuwa na mtot hata sina nafikiria mpaka niwe na 30 au 33Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa...
Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata mwanamke wa kuzaa nae.
Kiasi kwamba hata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa.
Utapata tu mwenye akili ila adabu huwez kuipataUnahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma. Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini
Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34 una wasiwasi gani mi mwenyewe sina mtoto kila kitu ninacho maana kila demu namuona hana akili mpaka nipate mwenye akili na adabu ndio ntazaa nae.
Mimi Nina 33Acha presha mkuu, hayo mambo sijui mnakaririshwaga na nani? Mimi nina 29 ila sina mtoto...ni mipango tu as long as huna tatizo lolote kiafya.
una umri gani? Ila kweli mademu wengi akili tatizoUnahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma. Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini
Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34 una wasiwasi gani mi mwenyewe sina mtoto kila kitu ninacho maana kila demu namuona hana akili mpaka nipate mwenye akili na adabu ndio ntazaa nae.
kama mimiBora yeye! Mi ni na 33 na sina mtoto
Mimi ndo nmefikisha 28 vipi nmechelewa au ndo nifanye himaKumbe hadi wanaume mnateseka , nilifikiri ni sisi wadada tu![]()
Tanzania ni ngum mno...Wape familia mjukuu
Umeeleweka mkuuTanzania ni ngum mno...
Mtu apaka akuelewe umtafunie kwelikweli.
Mtoto ni baraka sio wote tumebarikiwa..
Na nikihitaji kuna watoto wengi hawana wazazi wanahitaji mtu wa kumwita baba na mama,wanahitaji upendo sio lazima niwe biological father.
Ila kwa sasa sihitaji nitaishi hivi.
Unahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma. Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini
Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34.
[kumtolea mfano RIRI unaenda mbali sana. Hapa Kwetu DC kidoti ana 30+ hana mtt wala mume na hana presha]