Nina miaka 21,nipo chuo kikuu nilijiunga chapta form 2!ushauri please

Nina miaka 21,nipo chuo kikuu nilijiunga chapta form 2!ushauri please

Hi,

Mie ni kijana wa taifa hili,sina mpenzi wa kike,kwani baadhi ya wasichana niliowapenda na kuwafata..wote wamekuwa wakinidanganya tu.kutokana na hali hyo niliamua kupiga nyeto nikiwa form 2 hadi leo hii...

naombeni ushauri wenu..what can I do?

Kwani ww unataka kufanya nn?
 
We endekeza tu...utakapooa utakuwa unamuacha mke kitandani unajifungia chooni kupiga bao....na sijui kama mke utakayekuwa naye atakuelewa.
 
Jiandae kukimbiwa na wanawake kwa tatizo la kutowaridhisha kitandani jombiii! kwasababu nahisi mishipa itakuwa imekwisha legea haina nguvu hahahha ! kwishneiii!

Alafu ukute tena anahudhuria chips mayai analo kudadeki
 
Mbona sisi wenzio tumeanzia drs la pili na tumeacha kwanini ww ushindwe?
 
kwanza acha hiyoo nyeto..... anza kujiweka karibu na wanawake ila walet yako iwe na hela na condom...

mkono wako ukianza kwenda kwenye dudu yako fanya kitu kingine...
tafuta wataalamu wa afya watakushauri vizuri zaidi ,,..

fanya mazoezi na acha kabisa nyeto

Muonjeshe kijana
 
Kazi na dawa...piga nyeto kijana mpaka sabuni zotee ziishe dukanii..wala nyeto hainaga madhara...kwa raha zako
 
Nilidhani CHAPUTA ni chama cha siasa kinachotafuta usajili wa kudumu...Kumbe mambo mengine..! kwan kirefu chake ni nini.?

nilipokuwa tosamaganga high school kiliitwa CHAPUTO
 
Hiyo dudu itakomaa kama nyayo afu hutakuja pata ukimwi kwa sababu dick head itakuwa sugu
 
Back
Top Bottom