Nina miaka 21,nipo chuo kikuu nilijiunga chapta form 2!ushauri please

Nina miaka 21,nipo chuo kikuu nilijiunga chapta form 2!ushauri please

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Hi,

Mie ni kijana wa taifa hili,sina mpenzi wa kike,kwani baadhi ya wasichana niliowapenda na kuwafata..wote wamekuwa wakinidanganya tu.kutokana na hali hyo niliamua kupiga nyeto nikiwa form 2 hadi leo hii...

naombeni ushauri wenu..what can I do?
 
kwanza acha hiyoo nyeto..... anza kujiweka karibu na wanawake ila walet yako iwe na hela na condom...

mkono wako ukianza kwenda kwenye dudu yako fanya kitu kingine...
tafuta wataalamu wa afya watakushauri vizuri zaidi ,,..

fanya mazoezi na acha kabisa nyeto
 
thanks...
 
Nilidhani CHAPUTA ni chama cha siasa kinachotafuta usajili wa kudumu...Kumbe mambo mengine..! kwan kirefu chake ni nini.?
 
kwa raha na utamu zaidi tumia "super glue", amini raha utayosikia hutakuwa na haja tena ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom