Bora wewe umekuwa muwazi, kuna wanaume/wavulana humu wanajifanya kukukashfu wakati wao pia walipita na bado wako kwenye hicho chama.
Ila kazi ya kujitoa ni kubwa mno kuliko ya kujiunga, nakutahadharisha (talking from experience) hicho chama ni kibaya ni chanzo cha ndoa nyingi za siku hizi kulalamikiwa, wenzetu wa zamani walikuwa wana-compensate na aina ya vyakula walivyokuwa wanakula kama mboga za majani, mihogo mibichi, karanga (natural foods), sisi siku hizi utakutana na chipsi mayai, kitimoto, mafuta ya ajabu ajabu etc ambavyo vinaendelea kutudhoofisha.
Acha leo, punguza leo.