kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,337
- 7,756
Viroba ulivyopewa wakati wa kampeni havijakubakiza salama.we nakufahamu vizuri,kula,kulala kwa wazaz hata wembe wa kunyoa vuz kwa wazazi sikushangai hujui maisha kenge ww
Viroba ulivyopewa wakati wa kampeni havijakubakiza salama.we nakufahamu vizuri,kula,kulala kwa wazaz hata wembe wa kunyoa vuz kwa wazazi sikushangai hujui maisha kenge ww
Hata saizi bado ni wapiga dili tuAaaah wapi! umesahau yeye mwenyewe alikuwa mpiga dili au unajitoa ufahamu ndugu!
Mkuu binadamu hatuishi kwa makundi ya mihemuko.Hili lijamaa linatuharibia Tanzania.
Ni wendawazimu tu ndio watakaomshabikia, hii taswira ndio itakayoonekana 2020.
hujui maisha k wwViroba ulivyopewa wakati wa kampeni havijakubakiza salama.
Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.
Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.
Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.
Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.
Tumechokaa
MKUU WEWE UKO MBELE HUKO ..ENDELEA KUIFURAHIA DUNIA HILI LI TERMINATORWALA LISIKUOGOPESHE ...KAMA KILA JIWE LITASAGWA NA KUGEUKA MAVUMBI SASA KWANINI MTU KAMA HUYU AKUOGOPESHE NA KUKUFNYA UICHUKIE DUNIA ..MUDA NDIYE HAKIMU WA HAKI ..IPO SIKU UTAKUJA KUTOA HUKUMU YAKE ...Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.
Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.
Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.
Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.
Tumechokaa
Tanzania bado watu kama wewe mpo? Mnasubiri nini kufa jamani et ??Asiyefanya kazi afe tu! Utakuwa na matatizo ya kulawitiwa unadhani!!! Pole sana
Ndivyo akili za baaadhi yenu ambao unawa represent wewe...mmepumbazwa kias kwamba mnaweza hata kutoa wake zenu au familiq zenu kafara sabab ya hiki chama.Sema namchukia hujui maoni ya watu wengine,au mpiga dili nini?