Nina maumivu Makali na chuki mbaya

Nina maumivu Makali na chuki mbaya

mpende kiongozi wako mkuu maana.hata ukimchukia huna cha kumfanya utabaki kunung'unika na kuumia bure. na bado miaka zaid ya 8 mbele so si vibaya hata ukitangulia wewe yeye akabaki maana wengine tunampenda sana
Hongera kwa kumpenda ...bila shaaka unasheherkea wanayoyafanya hata nafikri kifo cha yule mwanafunzi umekifurahia
 
Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.
Dah....ukiamua kufa sasa hivi....halafu baada ya miaka 10 ukafufuka....utaona aibu sana utakavyoikuta nchi mpya.....hapo sasa ndipo utatamani kufa tena kwa aibu..kwa sababu utaona aibu ya kushare nchi mpya[emoji87]
 
Mpe sababu Mungu kwanini asikupende zaidi wewe uliyejaa machozi mwilini.
 
Acheni upumbavu wenu

Nyie kila anaempinga huyu jamaa ni mpiga dili, Mtu anapinga watu kuuwawa unasema ni mpiga dili?

Shame on you.
Dah.... Tatizo mnataka turudi kulekule...kwa mbinu zilezile zilizofanya tushindwe kwa zaidi ya miaka 50...ili muanze KUPIGA TENA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.

Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.

Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.

Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.

Tumechokaa
Mkuu your are not alone. .huyu mtu namashaka hata na hyo shule yake.
 
mpende kiongozi wako mkuu maana.hata ukimchukia huna cha kumfanya utabaki kunung'unika na kuumia bure. na bado miaka zaid ya 8 mbele so si vibaya hata ukitangulia wewe yeye akabaki maana wengine tunampenda sana
hamna mwanaume aliyekamilka mwenye 1200 zake anaweza mkubali huyu jamaa
 
Kuna namna Magufuli angeongoza inchi angependwa sana, ila kwa anavyo ongoza sasa afadhali shetani.
 
Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.

Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.

Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.

Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.

Tumechokaa
Unaonaje ukiolewa ufipa ,
 
Watu radical sana kama Magufuli, Slaa, TV can not make good president. They will all endup doing lot of evil against others.
 
Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.

Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.

Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.

Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.

Tumechokaa
Heshimu mamlaka zinazokuongoza. Mamlaka hazishindwi na mtu Bali na watu.
 
mpende kiongozi wako mkuu maana.hata ukimchukia huna cha kumfanya utabaki kunung'unika na kuumia bure. na bado miaka zaid ya 8 mbele so si vibaya hata ukitangulia wewe yeye akabaki maana wengine tunampenda sana
Mwambie! Kwa taarifa yake hiyo kwenye chuki ajue asilimia kubwa zaidi 90% wanampenda magufuli na wanamuombea. Wanaomchukia ni wapiga dili na madawa ya kulevya. Watasibiri sana bado miaka 8
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom