Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,165
WaTZ wengi tunampenda JPMNdio tunamchukia, hatumpendi na ndio ilivyo kwa wengi....hata waskma wenzie wana chuki kubwa tu juu yake...
Swine!
WaTZ wengi tunampenda JPMNdio tunamchukia, hatumpendi na ndio ilivyo kwa wengi....hata waskma wenzie wana chuki kubwa tu juu yake...
Swine!
Na watu hao wanaomuombea mungu wao ni tumbo na anasa nyingine na katika hayo wameshajipatia thawabu zao hapa hapa.Wanaomtegemea Mungu wa mbinguni wako wanaendelea na toba kwamba walikosea wapi likapata nafasi jaribu hili.Mwambie! Kwa taarifa yake hiyo kwenye chuki ajue asilimia kubwa zaidi 90% wanampenda magufuli na wanamuombea. Wanaomchukia ni wapiga dili na madawa ya kulevya. Watasibiri sana bado miaka 8
Namchukia pia tena sana kuliko kitu chochote chini ya jua.Sema namchukia hujui maoni ya watu wengine,au mpiga dili nini?
Stop your childsh,shame on you,nyie ndowale hamtak kuambiwa ukwli mnataka siku zote msifiwe hata kama mnafanyaa uchafu kama mjombakoo *** youSema namchukia hujui maoni ya watu wengine,au mpiga dili nini?
Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.
Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.
Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.
Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.
Tumechokaa
Uwongo 90% nani kakuambiaMwambie! Kwa taarifa yake hiyo kwenye chuki ajue asilimia kubwa zaidi 90% wanampenda magufuli na wanamuombea. Wanaomchukia ni wapiga dili na madawa ya kulevya. Watasibiri sana bado miaka 8
Sema umechoka wewe siyo kisemea watu,uyachekwa!!Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.
Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.
Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.
Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.
Tumechokaa
Unapinga watu kuuwawa kupitia jf,ingia barabarani na bango wewe tuone huo upingaji wakoAcheni upumbavu wenu
Nyie kila anaempinga huyu jamaa ni mpiga dili, Mtu anapinga watu kuuwawa unasema ni mpiga dili?
Shame on you.
Wewe umejuaje anachukiwa na watu wengi?Ndio tunamchukia, hatumpendi na ndio ilivyo kwa wengi....hata waskma wenzie wana chuki kubwa tu juu yake...
Swine!
Kafie mbele na kizungu chako cha ugoko....The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. ...It's better to die than sharing the same planet with search people...
Siyo msukuma huyo jamaa, ila linajipendekeza tu usukumani. Hakuna msukuma mwenye roho mbayaaaa kama hilo jamaa !Ndio tunamchukia, hatumpendi na ndio ilivyo kwa wengi....hata waskma wenzie wana chuki kubwa tu juu yake...
Swine!
Sema namchukia hujui maoni ya watu wengine,au mpiga dili nini?
Siyo msukuma huyo jamaa, ila linajipendekeza tu usukumani. Hakuna msukuma mwenye roho mbayaaaa kama hilo jamaa !
wewe Na Bibi yako wa kambo mzaa Babu yakoNi wewe unamchukia mimi nampenda na wenzangu .
Hizo kauli zenu za kwamba "huna cha kumfanya" zitawaponza siku yaja.mpende kiongozi wako mkuu maana.hata ukimchukia huna cha kumfanya utabaki kunung'unika na kuumia bure. na bado miaka zaid ya 8 mbele so si vibaya hata ukitangulia wewe yeye akabaki maana wengine tunampenda sana
DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE.Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.
Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.
Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.
Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.
Tumechokaa
Wewe tafsiri ya wengi unaielewaje??Wewe umejuaje anachukiwa na watu wengi?
Nyie cdm mnapendwa na watu wengi ndiyo maana mnashinda kila chaguzi.