Nina maumivu Makali na chuki mbaya

Nina maumivu Makali na chuki mbaya

Utampigia tu na hata usipompigia sato,sangala na changu pamoja na papa pweza na ngisi watampigia mkuu.Ngoma 8 subiria.
Poa haki yangu ya msingi lazima niitekeleze sipingi utaratibu wa kwamba wengi wape!Lakini hainizuii kumchagua naye mtaka hata kama hatoshinda ndo mfumo wa vyama vingi ulivyo!
 
Pole sana mtoa mada kiukweli kaaa ukijua tz sio.mama yako kama yamekushinda hapa njooo huku bondeni
 
Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.

Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.

Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.

Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.

Tumechokaa
Najua ulichoandika hapa ndicho unachomaaminisha. Pole mkuu Mungu atusaidie wote. Tunaumia kama wewe. Mungu atuepushie tusije kukufuru.
 
mpende kiongozi wako mkuu maana.hata ukimchukia huna cha kumfanya utabaki kunung'unika na kuumia bure. na bado miaka zaid ya 8 mbele so si vibaya hata ukitangulia wewe yeye akabaki maana wengine tunampenda sana
we ndio walewale kula kulala kwa wazazi kiufupi we n maiti kiakili
 
Hizo chuki na maumivu uliyonayo unatakiwa uyaonyeshe kwenye maendeleo yako na sio kwenye siasa....shauri yako
 
Utampigia tu na hata usipompigia sato,sangala na changu pamoja na papa pweza na ngisi watampigia mkuu.Ngoma 8 subiria.
Ooh, kumbe anaongoza hao uliowataja?
Sasa wewe ni ngisi au changu?
 
Paragraph yako ya tatu ipo vizuri sana
Kimsingi lazima wawepo watu wa aina yako ambao wanachuki hivyo kufanya naye awachukie kwa kiwango hichohicho na matokeo yake ndiyo hayo.
 
mpende kiongozi wako mkuu maana.hata ukimchukia huna cha kumfanya utabaki kunung'unika na kuumia bure. na bado miaka zaid ya 8 mbele so si vibaya hata ukitangulia wewe yeye akabaki maana wengine tunampenda sana
Unaijua kesho yake?. Wewe ni Mungu?.
 
Politics = Politrics
cc1008ae1c47d006103aa8a43e6cd40e.jpg
 
Siasa ni mchezo mchafu na huyu jamaa ni mchafu kweli kweli yaani ameweza mchezo, ngoja aweke heshima kati ya mashetani tuliyoyazoea na huyu Malaika mpya. Wapinzani wenyewe ni kelele tu hawana kipya zaidi ya kuyaacha majimbo waliyoyashindia kwa gharama za wananchi na kujiunga tena na wale wale waliokuwa wanapingana nao PIGA KAZI MH.
 
Baada ya miaka mitano msimpigie kura.
Kwani CCM mnahitaji kura za wana nchi?
Ni waninga tu wanao frahia haya.
Tatizo la wa Tanzania tunapenda kujipendekeza na kuamini maisha yanaenda kwa kujipendekeza, kila mtu afanye kazi halali, huu unafiki na kujipendekeza sio issue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom