cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Kama yako,cdm hujifichi alama yenu ni kulialia na majunguWewe tafsiri ya wengi unaielewaje??
Nani kakuambia mimi ni cdm??
Utakuwa una walakini kwenye ubongo wako....
Your mind is very poor....
Kama yako,cdm hujifichi alama yenu ni kulialia na majunguWewe tafsiri ya wengi unaielewaje??
Nani kakuambia mimi ni cdm??
Utakuwa una walakini kwenye ubongo wako....
Your mind is very poor....
Kwa hiyo fununu za kuwa ni mkimbizi zina ukweli ee?Siyo msukuma huyo jamaa, ila linajipendekeza tu usukumani. Hakuna msukuma mwenye roho mbayaaaa kama hilo jamaa !
Acha ukabila wewe.Siyo msukuma huyo jamaa, ila linajipendekeza tu usukumani. Hakuna msukuma mwenye roho mbayaaaa kama hilo jamaa !
Wacha weee.Mkuu binadamu hatuishi kwa makundi ya mihemuko.
Chuki ni jambo la binafsi na ni la muda.
Chuki haikai sana kifuani mwa mtu, hasa ikitokea mtu huyo akarekebisha ambayo wewe hauyapendi na akafanya wewe umpende na kumsamehe.
Maana kukaa na kinyongo cha muda mrefu, hugeuka sumu ya kukudhuru mwenyewe na ndiyo maana madhehebu yanahubiri kusamehe.
Unapoxpress chuki jidhihirishe wewe mwenyewe bibafsi kwa kusema 'mimi' na siyo 'sisi'.
'Sisi' kwa kuexpress upendo na upendo ndiyo asili ya viumbe vyote..
Unayemchukia wewe, sisi tunampenda sana.
Siyo kumpenda tu, pia tunamuombea kwa Mungu ampe uhai ili aendelee kuservive long time.
Tumchukie kwa lipi hasa?
Tuliyekula magunia ya chumvi na wenye akili tulivu, tunaona huyu hasa ndiye, katika kupima matokeo ili kutoa marks, hatuwazi kwa jazba bali tunawaza kwa hekima ili kupima na kulinganisha nyakati tangia uhuru.
Matokeo yanatuonesha kwamba huyu ni 'good one' aina bora ya kigae cha kujengea na kuimarishia nyumba.
Hata umpigie kura au usipo mpigiaBaada ya miaka mitano msimpigie kura.
Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.
Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.
Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.
Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.
Tumechokaa
Wote tunamchukia,,wengine tupo huko lakini pia twamchumkia kenge wewwSema namchukia hujui maoni ya watu wengine,au mpiga dili nini?
Bora yeye kichaa kuliko wewe pungaWe ni Kichaa ila hujijui tu
Ukiwa na maumivu na chuki nenda chooni kajisaidie haja kubwa.Nachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.
Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.
Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.
Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.
Tumechokaa
Ndio mwisho wa kufikiria kwako?Ndio mwisho wa ushawishi wako?We've got a very long way to go with people like you,who cannot Reason when it comes to defending what they think is right.Pumbavu zako.
Unajua naona wengi mnaongozwa na jazba na ufinyu wa kufikiri,Wewe unawezaje kunishawishi nifikiri kama unavyofikiri if all you think ni kutukana?Umeambukizwa na nani ujinga huu?Stop your childsh,shame on you,nyie ndowale hamtak kuambiwa ukwli mnataka siku zote msifiwe hata kama mnafanyaa uchafu kama mjombakoo **** you
poleni wapiga dili.Lazima Tuheshimiane tu mkuu.Katusemea mkuu tupo wengi
Yawezekana maana halina roho ya KiTanzania. Kabisa !Kwa hiyo fununu za kuwa ni mkimbizi zina ukweli ee?
Kazi gani anachapa ?. Mwambie aendelee kutiririsha damu za watu wasio na hatia !!Yesu mwenyewe ,alitenda mema na wasiojitambua walimchukia ,ndio itakua Magufuli?chapa kazi baba tupo weengi tunaokupenda,wapo wahuni wachache tu wasiojitambua ndio wana ujingaujinga,kila kitu kipinga tu,hawana dira wala muelekeo.
Duh....timu chadema aka mange.....usitusemee wote tuna midomo yetuNachukia sana utawala wa huyu jamaa. Ameleta chuki na uhasama baina ya watanzania. Siyo mwerevu Kabisa. The man is arrogant, clumsy, senseless and unintelligent. Huwezi kuwanyanyasa watanzania wenzako namna hii.
Hata kama Siasa ni figisu ila umezidi. Hatukupendi tunakuchukia na chuki zetu kwako zimezidi hata za balozi China.
Sijui kwanini naendelea kuishi. It's better to die than sharing the same planet with search people.
Mungu mwenye upendo ingilia kati umpende zaidi.
Tumechokaa
Wewe hujui kazi yake ni nini?Kazi gani anachapa ?. Mwambie aendelee kutiririsha damu za watu wasio na hatia !!
Vijana wasomiDah...Labda mkuu tuambie wenye chuki ni akina nani hasa? [emoji87]