kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,337
- 7,756
Nadhani waliopunbazwa ni nyie,wewe ni mpiga dili unahangaika ila nikupe taarifa tu subiri miaka minane ujaribu madili yako.Ndivyo akili za baaadhi yenu ambao unawa represent wewe...mmepumbazwa kias kwamba mnaweza hata kutoa wake zenu au familiq zenu kafara sabab ya hiki chama.