Nina Masters ya Water Engineering kazi inakuwaje hapa?

engineerm

Senior Member
Aug 30, 2011
106
19
Wakuu nina masters ya water Engineering toka huko ughaibuni,sasa baada ya kutua bongo,sijui bado michongo ya kazi inakuwaje,Please anayeweza kunipa hata ushauri nianzie wapi ani-PM manake nimekaa sana ughaibuni.Naomba masaada wakuu.
 
engineerm hujaja na machine zako za ku "drill" maji? Kuna wizara ya maji na mifugo kaulizie miradi yao labda utafit huko
 
Last edited by a moderator:
hivi wewe na akili zako unapoteza muda kusoma mambo ya maji? hivi mnashauriwaga na nani wakati wa kuchagua kozi?au ndo kuenda tu ulaya hata kama unaenda kusoma kozi ya mapishi? hilo kozi utakaa milele hupati kazi ...yaani unasoma mambo ya kuchimba visima na ufundi bomba?
 
typically Tanzanian(useless people)..tukiuliza professional yako hapa tunaweza kukuta umesomea ufundi redio...
..swali kwako kigogo..unajua Dar es salaam yenyewe inatakiwa ipate lita ngapi za maji kwa siku..na sasa hivi inapata ngapi? ..unajua kwa nini serikali inashindwa kuleta maji hadi dsm..(so simple kutandaza mabomba kutoka kwenye vyanzo vya maji hadi mjini lakini wanashindwa,,unajua ni kwa nini? kwa sababu serikalini kuna watu kama wewe..
 
fikiria zaidi kujiajiri kuliko kuajiriwa kwa shule uliyonayo unaweza kufanya mambo makubwa sana ukijiajiri mwenyewe
 
Kijana mimi nakushauri utafte kazi kimya kimya tu haumu kuna wat7u wana roho mbaya sana ..wanauonea wivu hawatakupa mchongo wa maana hapa..
 
Usijali unaweza upata u-moderator hapa JF weee jitahidi kuchangia sana utaupata u-expert na premium
 
hivi wewe na akili zako unapoteza muda kusoma mambo ya maji? hivi mnashauriwaga na nani wakati wa kuchagua kozi?au ndo kuenda tu ulaya hata kama unaenda kusoma kozi ya mapishi? hilo kozi utakaa milele hupati kazi ...yaani unasoma mambo ya kuchimba visima na ufundi bomba?

Dah.Leo umetia aibu sana na hii comment yako.....Ndio maana Watanzania hatuendelei...Wewe unadhani maji huwa yanachotwa mtoni na kutumiwa??????Kwa taarifa yako maji ni moja ya sekta ambazo miradi yake ni capital extensive....Na kuna watu wametajirika kwa ajili ya kuuza maji..mfano Azam na watu wengi tu hapa Dar...
 
hivi wewe na akili zako unapoteza muda kusoma mambo ya maji? hivi mnashauriwaga na nani wakati wa kuchagua kozi?au ndo kuenda tu ulaya hata kama unaenda kusoma kozi ya mapishi? hilo kozi utakaa milele hupati kazi ...yaani unasoma mambo ya kuchimba visima na ufundi bomba?

Taratibu mkuu Kigogo. Fani ipo poa tu......na kazi atapata bila shida. engineerm, niPM tafadhari.
 
Last edited by a moderator:
Hii ni moja kati ya fani muhimu sana hasa kwa nchi zinazoendelea kama tz,ambazo ongezeko la watu ni kubwa na hivyo maji kuwa changamoto kubwa,tafuta kazi kwenye drilling companies na NGO,hifadhi pesa kidogo kidogo badae uanzishe consulting company ya mambo ya maji,trust me utatoka
 
Mleta mada nakushauri utafute mji mmoja ambao una chanzo cha maji lakini watu hawana maji. Buni solution ya ukweli, tengeneza proposal 'sustainable', then imwage kwa wadau wakupe mtaji, kazi ifanyike. Tunataka wasomi staili ya wachina. SOLUTIONS.
 
TZ employment iko chini sana, hivo faham kua you enter a saturated market. Ila ukitafuta vizuri, unaweza kupata, still. Here is my little advice:
  • Focus katika aina fulani ya kazi unayo taka kufanya. Huwezi kua wazi kwa kazi zote kwa pamoja. Ukisoma mazingira ya sasa ya TZ utaona Mining Companie ndio ziko juu. Sababu nyingi zina dams (tailing Dams au water dam for raw water or waste) basi focus on those (this is just one of the area you can focus on, zingine zikiwa CBO, serikali, NGO au hata kujiajiri)
  • Nenda LinkedIn, update your profile, add mining recruiters and HR managers from TZ mining companies, hasa zile ambazo zina expand, au zipo construction phase. Hata zingine zinaweza ku-recruit pia.
  • Print few business card that have your qualification and phone number, spread them around. tafuta geologists, surveyors, mining engineers ambao tayari wako kazini na waeleze kua unatafuta kazi. Sometimes hawa watu wanauwezo hata kuliko HR katika kuvuta watu kazini.
  • Of course, kama unataka kufanya kazi na serikali unaweza kufata same steps, but the place to meet the key people will change. Just make this job hunting your permanent job, until you get there. spend 8 hours on it daily, 5 times a week, iwe kwa kusoma, kwa kuandika, kwa kuzungumzia, kwa kukumbushia au kwa kufatilia.
Good luck!
 
Jitahidi sana kuzifahamu NGO's mbalimbali hapa nchini kupitia mtandao then unatuma cv zako kwenye blog zao ili kuomba kazi.
Fani yako ni maketable, so jitahidi utatoka tuu.
 
Mkuu Mhandisi nilitegemea kwa kusomea ughaibuni ungeweza kuja na kile ambacho sisi wabongo wengi hatuna, yaani mpangilio mzima wa jinsi fani uliyoisomea italeta tija katika maisha yako na kwa taifa. Hainiingi akilini mtu unasoma Master degree huku ukiwa hujui baada ya kuipata utaifanyia nini na wapi? Jamani watanzania tujitahidi kutafuta business skills na entrepreneurial skills vinginevyo hakutakuwa na tofauti kati ya wasomi na wasiosoma. Hii kitu nasoma ili niajiliwe tuanze kuisahau taratibu jamani.
Anyway check na NGO ya CARE International wanayo miradi ya maji huenda wakakuhitaji ingawa miradi iko vijijini sana, mfano Mugumu Serengeti
 
Wakuu nina masters ya water Engineering toka huko ughaibuni,sasa baada ya kutua bongo,sijui bado michongo ya kazi inakuwaje,Please anayeweza kunipa hata ushauri nianzie wapi ani-PM manake nimekaa sana ughaibuni.Naomba masaada wakuu.

Kazi ziko nyingi sana after decentralization of NUWA kila mkoa una independent water authority they are autonomous and got separate board

What did u take for your undergrad ? Civil, mechanica? Chemical, electrical ,mining ? Etc etc

Water resource ilikuwa inatolewa FoE not sure kama bado wanatoa
 
Back
Top Bottom