wee chizi yule mwanasayansi na sio msoma taarifa ya habari tbc au itv sawa..yule ni prof wa sayansi alobobea na kaongoza idara nyeti za kimataifa zenye uzito kuliko huo uwaziri wenu sijui wa nn na nn...uwe na heshima kwa prof wee chizi ivi kwa akili yako unadhani unawezakuwa na uwezo kuliko yeye kwa sababu anakosea kusoma majina??
mind yako ni very simple...yaani unaongelea vitu vidogo vidogooo...juha wewe

Hilo povu si bure kuna kiti hapo duh!!
Nimegundua mawaziri wengi hawawezi kusoma kwa usahihi. Sijui wanawezaje kuleta tija kwa ufanisi katika nafasi zao.
Serikali ya awali hii tunaona mengi ya kushangaza...!!!!
CCM tunajimaliza wenyewe. Unaibu waziri umepewa juzi. Leo umeanza majungu kwa bosi wako. Kijana January Marope punguza majungu. Hauna tofauti na Zitto. Wote manafiki
Umepiga majungu Ikulu, ukampiga Ngeleja hadi katolewa, leo kwa bosi wako. Kha
Hicho ni kielelezo kwa nini watu wanamshangaa rais katika teuzi zake. Yeye anachoangalia ni title za Prof. , Dr. basi. Uwezo wao hana time nao. Tehe tehe tehe kwi kwi kwikiiiiiiii!!Kwa kweli sijui ni vigezo gani vinatumika kuwateua hawa Mawaziri!!Huyu profesa Mbarawa ameonyesha mapungufu na udhaifu mkubwa sana katika kujibu hoja za wabunge waliotoa michango yao ktk Wizara yake tofauti kabisa na Naibu Waziri wake Mh.Makamba ambae kwa kweli nampongeza kwa uwezo mkubwa wakujibu hoja nakutoa ufafanuzi wakuridhisha.
Mapungufu yake:
1.Anakosea sana kusoma kutokana nakutojiamini nakutetemeka.
2.Anasoma kila kitu kwenye karatasi.
3.Anaonyesha kabisa hata majibu anayotoa hana uhakika nayo coz ameandikiwa tu.
Mbarawa ana uwezo mzuri tu,tatizo yeye siyo mwanasiasa kwa sababu siasa za Tanzania lazima uwe muongo.Kwa kweli sijui ni vigezo gani vinatumika kuwateua hawa Mawaziri!!Huyu profesa Mbarawa ameonyesha mapungufu na udhaifu mkubwa sana katika kujibu hoja za wabunge waliotoa michango yao ktk Wizara yake tofauti kabisa na Naibu Waziri wake Mh.Makamba ambae kwa kweli nampongeza kwa uwezo mkubwa wakujibu hoja nakutoa ufafanuzi wakuridhisha.
Mapungufu yake:
1.Anakosea sana kusoma kutokana nakutojiamini nakutetemeka.
2.Anasoma kila kitu kwenye karatasi.
3.Anaonyesha kabisa hata majibu anayotoa hana uhakika nayo coz ameandikiwa tu.
Mayooo weee! LOL...:nono::nono::focus:Msomi Mh. Waziri wa Mawasiliano, sayansi na Teknolojia kashindwa kabisa si tu kuwakumbuka Wabunge bali hata kusoma toka kwenye karatasi yake majina yao. Je huyu anawezaje kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia nchini?
Baadaye katika kujibu ilifikia kipindi akasema, "Silvesta Mapumbu, oh! samahani Mabumbu" LOL!!!:yawn:
Je ni kupaniki au ni uwezo mdogo au ni kusoma kupitiliza hadi kuchanganyikiwa?