Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Yani wewe ndiyo kitunguu kabisa hujielewi wala hujui unafanya nini kama ndege wewe bata ambaye huoga matope nakujiona anapendeza.

Bata ni hao wanaofungiwa hapo kwenye chupa na kulipwa ujira wa Buku Saba Saba kwa kila comment hapa
 
Katika watu ovyo nafikiri wewe unaweza kuongoza, Ulitaka Lema amwambie nani? kwani chadema ndio imeshika Dola ni vema kushirikisha kichwa kufikiria

Lema alitakiwa kuwaambia viongozi wake ambao ni chachu ya chadema kuporomoka hivi sasa kabla hajaja nanyaraka zake za kitoto
 
Lema alitakiwa kuwaambia viongozi wake ambao ni chachu ya chadema kuporomoka hivi sasa kabla hajaja nanyaraka zake za kitoto

Chadema haijaporomoja na Mnajitaidi sana kuleta mamluki kwenye chaguzi zetu za ndani lakini tunawaumbua. Kwatarifa yako wewe na wenzako Chadema kuporomoka siyo rahisi kwasababu ni Mpango wa Mungu. Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu
 
  • Thanks
Reactions: J C
Hata mimi nina mashaka na uwezo wako. Kwa nchi kama tanzania haiitaji kujua mfumuko wa bei unasababishwa na nini, acha kumtetea jk, yeye mwenyewe alishasema hajui ni kwanini tanzania ni masikini wakati huohuo anawaambie wananchi atawaletea maisha bora!
Jipange uje upya acha kutetea upumbavu, kama hujamwelewa lema, haya niambie umeelewaje kauli ya kikwete kwamba hajui ni kwanini tanzania ni masikini.
kumbe wenye akili za kitoto kama za lema mko wengi sana humu, hivi kweli ----- anaouandika lema nao ni wa kushabikia?
 
Kama sisi Chadema tunavyowapuza nyie ccm nawashirika wenu act

Mimi siyo mshabiki wa vyama vya siasa lakini naona kama ACT inaumiza sana vicha vya CHADEMA, mbona hata mada isiyohusu vyama utakuta ACT inatajwa hasa na CDM
 
Lema alitakiwa kuwaambia viongozi wake ambao ni chachu ya chadema kuporomoka hivi sasa kabla hajaja nanyaraka zake za kitoto
Kwenye chama chao kila siku wanapigana matofali kwenye vikao vyao lakini kashindwa kuwashauri anadandia yasiyomhusu wala hayajui
 
Mimi siyo mshabiki wa vyama vya siasa lakini naona kama ACT inaumiza sana vicha vya CHADEMA, mbona hata mada isiyohusu vyama utakuta ACT inatajwa hasa na CDM

Ungekua si Mshabiki wa vyama usingeingia kwenye Jukwa la Siasa... Jaribu kupitia post huku ndani utagundua ACT na CCM nimtu na Mchepuko wake

Kwenye chama chao kila siku wanapigana matofali kwenye vikao vyao lakini kashindwa kuwashauri anadandia yasiyomhusu wala hayajui

Wewe povu linakutoka kwakua leo ni Jumamosi basi unajianda kufua, Huu Mpasuko wa CCM Arusha unaujua?
 
Back
Top Bottom