Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Mungu mnaemuabudu CHADEMA ni yupi? Yule anaewaongoza viongozi wenu kunyang'anya watu wanawake na wengine kwenda kutanu nao dubai kwa kodi za wananchi? Mungu yupi, yule wa kuandaa maandamano na migomo ya kinafiki? Mungu yupi huyo, anawaongoza kuandaa matukio ya kigaidi? Acheni kumkufuru mungu jamaniChadema haijaporomoja na Mnajitaidi sana kuleta mamluki kwenye chaguzi zetu za ndani lakini tunawaumbua. Kwatarifa yako wewe na wenzako Chadema kuporomoka siyo rahisi kwasababu ni Mpango wa Mungu. Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu
Wewe povu linakutoka kwakua leo ni Jumamosi basi unajianda kufua, Huu Mpasuko wa CCM Arusha unaujua?
chadema kupoteza jimbo la arusha mjini
Lema kwavile najua kichwani hazijaenea vizuri mimi huwa hanipishida nampuuza tu.
Nyie dawa yenu ni SHIBUDA, kabla ya ACT
Unakijua ulichopost? Kwann unakuwa mbuni?Chadema hawawezi kuwa wapinzani wa kutumia akili kama viongozi ni wa aina ya akina LEMA. watabaki kuupata umaarufu kupitia maandamano, migomo na ulaghai, siku wananchi wakiwachoka watakosa pa kujificha
Uko kama mimi, huwa simtilii maanani!
Ungekua si Mshabiki wa vyama usingeingia kwenye Jukwa la Siasa... Jaribu kupitia post huku ndani utagundua ACT na CCM nimtu na Mchepuko wake
Uko kama mimi, huwa simtilii maanani!
Mungu mnaemuabudu CHADEMA ni yupi? Yule anaewaongoza viongozi wenu kunyang'anya watu wanawake na wengine kwenda kutanu nao dubai kwa kodi za wananchi? Mungu yupi, yule wa kuandaa maandamano na migomo ya kinafiki? Mungu yupi huyo, anawaongoza kuandaa matukio ya kigaidi? Acheni kumkufuru mungu jamani
Huyo ni kopo la choo ndo maana chamani alikuwa hapewi sauti yoyote! Chukueni furushi lenu!Nyie dawa yenu ni SHIBUDA, kabla ya ACT
Mkuu kichondi77 nakupinga kwamba kila anayeitumia forum hii ni shabiki wa chama, mfano ni mimi nipo hapa kutetea watanzania na sio vyama.
Na CHADEMA imeshakufa kama alivyotabiri Wassira! So now let's start talking about TLP and UDP.
Uko kama mimi, huwa simtilii maanani!
Pole Sana Chadema hatuna DJ
Sijaona Unamtetea Mtanzania yupo huyo labda anaekua fisadi?