Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Nina mashaka na uwezo wa Godless Lema

Mimi siyo mshabiki wa vyama vya siasa lakini naona kama ACT inaumiza sana vicha vya CHADEMA, mbona hata mada isiyohusu vyama utakuta ACT inatajwa hasa na CDM

u nailed it
 
Kwa jinsi ulivyoandika ukilinganisha na Lema ni ka maji na mafuta!!!!!
 
Basi fatilia comment zangu uone, sina uchembechembe wa ccm, cdm, act, cuf, tlp nk. Wanasiasa wote wanafanana tu, huna tofauti na msalani, kwani unayaona mabaya ya wenzako CCM wakati huohuo mabaya ya CDM huyaoni, kama walivyo wakina msalani.
Hapa nailamu ccm zaidi kwa kuwa ndio wanaochangia kwa asilimia kubwa suala la ufisadi.
EMANCIPATE YOURSELF FROM MENTAL SLAVERY.

Basi mimi nakuchukulia kama ni mtu hujitambui tulipotoka tulipo na tunapokwenda maana ni ccm ndio wametufikisha hapa nchi yenye maziwa na Asali lakini wananchi wake nimasikini wakutupwa
 
Mkuu uozo wa CCM naujua, na hata CDM na CUF pia, jambo moja ninaloliamini ni kwambah hata ukiiweka chadema kwenye uongozi wa nchi, watafanya yaleyale yanayofanywa na CCM. Mimi najitambua ndio maana sioni kipya.

Ungewaweka kwanza Chadema washindwe ndio ulalamike siyo unalalamika kabla hujawaweka... Mtoto ajazaliwa unampa jina
 
Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.

3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.

Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.

Raisi wa Jmauhi anauwezo wa KUTENGUA TEUZI ZA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA, na akisha tengua automatic kutakuwa hakuna Bunge tena, kwanini hamtaki kusoma na kufikiri?
 
Mi nina mashaka na uelewa wako, jitahidi elimu uliyo nayo ikusaidie. Tena unachefua

Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.

1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?

2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi

3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.

4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?

Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.
 
1. Hata wewe unalalamika, unasema chadema kuna matatizo bila kuyataja.Chadema hata ikiwa na matatizo haina madhara kwa nchi,rais akiwa na maamuzi HOI ni tatizo kwa nchi.
2.Mfumuko wa bei ni kweli hutokea,ila hapa kwetu unatokea kwa kutengenezwa na matajiri ambao ndio rafiki wakubwa wa viongozi wa kitaifa,yaani hata kodi hawatoi.
3.Rais hana uwezo wa kuingilia bunge la katiba!? Alipolazimisha Warioba aanze kwanza na yeye kujibu hoja za Warioba sio kuingilia BMK kule? Na anapoongeza muda wa BMK sio kuingilia huko!? Yaani unamaanisha Kuwa hata BMK likianza kujadili mambo ya kuhujum wananchi basi Rais akae kimya tu!?
4.UTAKAMILISHA VIPI AHADI IKIWA WALIOKO MAFATAKANI WANAFANYA KILA AINA YA PROPAGANDA ILI KUZIMA UTIMIZWAJI WA AHADI
 
Ujinga wao wanadhani wanaweza kuwahadaa watu kuandamana kila siku huku wao wakijizolea umaarufu kwa vilema vya waandamanaji na kuwaonyesha mabwana zao wanaowatuma kuvunja taifa hili kwamba wanaongeza juhudi kuvunja tawala zote zilizo na utulivu kama yaliyotokea maeneo ya Libya na kwingineko ambako kwa sasa wanajuta.
 
sina shaka na mleta hii mada kama anajielewa uzuri,labda simkaaji wa nchi hii,alitaka lema akaongee na wasira?kunavitu vya kubishana ila kuna mambo mengine tuangalie utaifa kwanza acheni kuwa minazi,mnalo ambiwa ndio mnalong'ang'nia iko siku mtaambiwa mkae7 mtaipata habari yenu
 
1. Hata wewe unalalamika, unasema chadema kuna matatizo bila kuyataja.Chadema hata ikiwa na matatizo haina madhara kwa nchi,rais akiwa na maamuzi HOI ni tatizo kwa nchi.
2.Mfumuko wa bei ni kweli hutokea,ila hapa kwetu unatokea kwa kutengenezwa na matajiri ambao ndio rafiki wakubwa wa viongozi wa kitaifa,yaani hata kodi hawatoi.
3.Rais hana uwezo wa kuingilia bunge la katiba!? Alipolazimisha Warioba aanze kwanza na yeye kujibu hoja za Warioba sio kuingilia BMK kule? Na anapoongeza muda wa BMK sio kuingilia huko!? Yaani unamaanisha Kuwa hata BMK likianza kujadili mambo ya kuhujum wananchi basi Rais akae kimya tu!?
4.UTAKAMILISHA VIPI AHADI IKIWA WALIOKO MAFATAKANI WANAFANYA KILA AINA YA PROPAGANDA ILI KUZIMA UTIMIZWAJI WA AHADI
Kama kweli mna mpango wa kuwa na rais msimamiajo wa sheria vp mnaanza kwa kuvunja sheria kiruhusu gongo?
 
Nimejaribu kuwa kimya lakini naona kuna haja ya kusema.

1. MH LEMA amekuwa mtu wa kulaumu na kulalamika kila wakati. kumlaumu rais kwa hoja dhaifu namna hii ni upofu. je mh lema mapungufu makubwa yaliopo chadema ya kiuongozi huyaoni. mbona km mpambanaji wa kweli hatukusikii ukikemea je huo uzalendo uko wapi?

2. Kiufupi kasome uchumi utaelewa namna inflation inavotokea na sikila kitu unakimbilia kwa mh raisi

3. Kasome sheria ya mabadiliko ya katiba, rais kisheria hana uwezo huo.

4. Je jimbo la Arusha mjini mbona hujakamilisha ahadi zako mbono hilo hulizungumzii?

Tubadilike watz kulalamika tu suluhisho.

Kwaio unataka nambia inflation inasababishwa na watu kutojua mambo ya uchumi?

Kama ndivyo huoni kwamba hata prof ndullo anaposema kwamb mia tano inachaka sana so tuwe na coin kwamba naye mwendawasimu kama wengine tu,na tusitegeeme kua na uchumi ahueni.

Sijui kama unajuatofaut ya lawama na ukweli,alichosema lema ni ukweli na sio vilawama kama unavotaka ww.
 
Back
Top Bottom