Mamndenyi kitu ambacho hawa magamba hawakijui ni kwamba Chadema tunaamini kwamba maisha na uhai wa watanzania ni muhimu sana kuliko kitu chochote sembuse hii bajeti yao mbovu ya sigara, pombe na soda?
Wabunge wa Chadema ni wawakilishi wa wananchi na kwakuwa wananchi wa Arusha wamekumbwa na msiba mkubwa basi ni muhimu wawakilishi wao wajumuike nao katika kipindi hiki cha majonzi na maombolezo. Kuna watu wengi bado wako hospitali wanahitaji msaada wa hali namali hivyo kuhitaji watu kuwa nao karibu kufuatilia hali zao.
Kama ccm ina wabunge zaidi ya 200 ukiongezea na ndugu zao wa cuf ambao wako zaidi ya 30, kwa idadi hiyo ya wabunge takribani 300 ni wengi sana na wanaweza kuijadili bajeti mbovu ya magamba.
Hiki kilio cha magamba kuwataka wabunge wa Chadema kuwepo Dododma kujadili bajeti yao kinadhihirisha kuwa wabunge wa Chadema ndio wenye uwezo na akili ya kuijadili na kuiboresha bajeti hiyo na hao wa ccm na mshirika wao cuf ni maamuma na hawawezi ku-add value katika bajeti hiyo.
Sasa haya ni maswali au ngonjela!!??Naomba jibu maswali yafuatayo kwa ufasaha.
Una umri gani?
Una elimu kiwango gani?
Ulikunywa pombe aina gani jana?
Unafanya shughuli gani kujipatia kipato?
Je wewe ni mtanzania?
Sikutegemea kwa mtanzania mwenye akili timamu kama wewe uandike ----- kama huu...hiyo bajeti ni ya nani? na waliokufa ni kina nani? ifike mahala tuache fikra za ajabu ajabu
Revocatus Kashaga.
Tukio lile la bomu lilikuwa baya sana! Nakuapia mimi nilikuwa eneo lile na hakika lilikuwa baya sana!! Nadhani Mh. Mbowe ametoa uamuzi huu ili kuonesha hasira zake kwa kitendo kile. Nakushauri uache kufanyia dhihaka mauaji yale.
U have a point hawa jamaa wanatumia maumivu ya wananchi kupata mtaji wa kisiasa.
Ila ulitegemea uamuzi gani toka kwa DJ?
Wabunge wote wa Chadema ni mateka wa Mbowe na Dr Slaa.
Kwa hiyo unataka kutuambia na kutuaminisha kuwa mkutano wa bunge kuahirishwa kwa matukio ya maandamano Mtwara na mlipuko wa bomu kanisani Arusha pia ulikwa ni upuuzi...?
Kwa maoni yangu tukio hili halina tofauti na lile la kanisani Arusha so means spika pia alipaswa kuahirisha bunge kwa siku ya leo ili baadhi ya wabunge waje kutoa pole pia Arusha...!!
Sikutegemea uamuzi mbovu kama huu unaweza kufanywa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni-KUB ya kuwalazimisha wabunge wote wa CHADEMA wasitishe kuhudhuria vikao vya bunge la bajeti vinavyo endelea na kwenda jijini Arusha kuhudhuria maziko ya wananchi waliofariki kutokana na mlipuko wa bomu uliotokea kwenye Mkutano wa CHADEMA.
Kuna haja gani ya wabunge wote kwenda Arusha na kukaa kusubiria maziko ambayo hayaeleweki yanafanyika lini?? Bila shaka huu ni mtaji wa kisiasa unatafutwa kupitia vifo vya watanzania wenzetu. Mh Mbowe yawezekana kasahau kabisa kazi ya Kambi ya Upinzania Bungeni-KUB?? Au ndiyo kusema wenzetu mmelidhishwa na bajeti hii iiyosomwa bungeni?? Kwa hili sisiti kutamka wazi wazi huu uamuzi ni wa kipuuzi na hauna tija kabisa mbele ya watanzania, waacheni wabunge wafanye kazi zao za kibunge kwa kuhakikisha wanawatetea na kuwatumikia watanzania waliowapa fursa ya kuingia bungeni.
KWA HAYA NAANZA KUONA UMUHIMU WA WAGOMBEA BINAFSI HAPA NCHINI AMBAO HAWATAPELEKESHWA NA VIONGOZI WAO

Wewe ndio mateka wa Nape, Mwanamme mzima unatumika.Wabunge wote wa Chadema ni mateka wa Mbowe na Dr Slaa.
Naomba jibu maswali yafuatayo kwa ufasaha.
Una umri gani?
Una elimu kiwango gani?
Ulikunywa pombe aina gani jana?
Unafanya shughuli gani kujipatia kipato?
Je wewe ni mtanzania?