Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

Status
Not open for further replies.
Olewa mkuu itakulipa zaidi.
Siku jamaa amekukunja kupita kiasi unapata hasira unamgeukia kumkunja

Hakuna mtu atajitokeza kukuoa
 
Kuna terms za JF kwa mgeni kutumia kidogo pana ukakasi mfano kugegeda!, anyway!!!, ila na kingine kuwa na jinsia mbili ni kawaida ila zote kuwa active ndo inashangaza pole sana

Ushauri kama ya kiume ipo active bora uoe tu jitahid umpate mwanamke mwelewa muelezee kila kitu ulichonacho, ila ukiolewa daaaah inahitaji moyo kidogo yaani jamaa akikugegeda anaiona dushe yako hapo inakuwa kama kang'oa punga hiv haina hata mzuka
Asante mkuu, ila kuhusu izo term ni kua huaga nlikua nasomaga jf via opera, ila sikuwa nimejiunga,
 
Muomba ushauri hajibu maswali! Nasubiri jibu la swali hili! Ulishawahi fanywa? Ulijisikiaje? Mtu mwenyewe huna mapu..mb... Unataka ukamuoe nani? Mwanaume Ukiwa huna map*mbu tayari we kazi huna yaani ni sawa na gari bila injini hapo tutaita jahazi au toroli? Nikushauri tu itapendeza ukiolewa au uendelee kupumuliwa! Waone madaktali wakupime Kwa maelezo zaidi
Sijawah kugongwa naogopa,

Hata skul ilikuwa chagamoto sana kwa madem na mamen ,

Pia you can't nlv kuu nligegesa nkamwaga, sasa kwe kuzalisha ndo cjajua
 
Vitombeshe hivyo vikojoleo...ukiona shida olewa tu, wanaume vyuma vimekaza
 
Nenda kwa daktari akuchunguze ipi inafanya kazi sawsawa yaani aangalie mayai ya kike na mbegu za kiume zipi zenye nguvu zaidi. Akuangalie mfuko was uzazi kama una uwezo was kubeba mtoto.
Kama vyote vitakuwa sawa ytaangalia mwenyewe ni wapi unapata raha.
Mkuu naogopaga maoparesheni mm
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom