Nina hizi option tatu kwenye safari ya maisha yangu.

Nina hizi option tatu kwenye safari ya maisha yangu.

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Kwa haraka haraka
01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka

02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri)

03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar..

Nipo njia panda naomba ushauri
 
Mali za ushetani hazina umuhimu wowote. Hao kondoo 4 kwa mwaka, kuna wakati watabadili gia utapaswa kuchinja ng'ombe au kumwaga damu ya ndugu yako kabisa. Vilevile huyo jini wa kumuoa naye kuna wakati atakuwa anadai damu. Utajikuta unapata pesa lakini unaitumikia kwa mateso sana. Bora chako cha halali, hata kama ni unskilled labour lakini unaingiza pesa kihalali, kuliko kuwa kama mateka.
 
Sasa achana na hao watalamu wako kwanza,. Njoo na laki nikupeleke kwa mtalamu wangu sharti hakuna kunjunjana mpaka unaingia kaburini
Hii hapana hta mm nakataa, bora niwe maskini lkn dyudyu lifanye kazi 😂
 
Mkuu hem njoo PM tuongee jambo_

Back
Top Bottom