Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

Plz amua kati ya haya mawili kwani kuna wakati ushauri wa watu hauwezi kumsaidia mtu. Nimeona majibu yako uko ktk point of no return na kunikumbusha usemi wa jeshini "aliyeona target aendelee" nawe shabaha umeshaiona unasita nini? Chagua mpenzi wangu nini cha kufanya sasa, kwani wakati ni huu.

1. Usiuendeke moyo unavyokutuma, unadanganya; jaribu kushinda usiposhinda huna budi kuumia.
2. Tafadhali tii kiu yako kama unaona hakuna namna maana ingawa unasema hujawabado msagaji lakini naamini unajua kusaga na kukuboa na tayari unayo midoli ya dhakari.
 
ha ha ha Bazazi umesema huyu naona ni juu yake kusuka au kunyoa ..lakini naona kama tunampigia mbuzi Gitaa Diana Double D atakuwa ameshatest hako ka mchezo sasa anataka kuendelea .
Kilichobakia aokoke tu
 
DDD .....ushauri wangu ni kuwa nenda hospitali. onana na daktari umuelezee matatatizo yako, yaweza kuwa mwenzetu unatoa hormones za kiume nyingi kuliko ilivyo kwa wanawake wengine.

if that is not the case itakuwa tatizo la kisaikolojia zaidi. Labda mume wako hakuridhishi vya kutosha kimvuto au kisaikolojia. Ukishakujua tatizo lako hapo waweza fanya maamuzi

Note: kwenda kwa daktari kwa matatizo ya kisaikolojia sio a taboo kama wengi wanavyolichukulia ni jambo la kawaida tu.
 
We DDD, hebu niambie unadhani mumeo anakuridhisha kwenye mapenzi?? Kama unaona mambo ndivyo sivyo ni-PM tafadhali kwa kweli ninaweza kukusaidia na ukaachana na hii habari ya kutamani wanawake wenzako..:hug:
 
DDD,
Pole sana, nimejaribu kusoma posts zote kwa haraka haraka, Kuna kitu kimoja kimenisumbua sana!!! kuwa unawezaje kutamani kitu ambacho hukijui? au hujawahi kufanya? Pia una uhakika gani kuwa huyo dada atakubaliana na mawazo yako? je utakapomweleza na akakukatalia itakuwaje?Na atakapowaeleza wengine hapo ofisini juu ya hayo uliyomweleza? Huoni kama utakuwa umeshusha heshima yako!!!! na pia mtizamo wa watu kwako utakuwa tofauti. Vp unamwonaje mume wako? anakuridhisha kweli? au unalazimika kufanya tu kwa kuwa ndo kawaida?
Do you have Faith?
 
Nawahakikishia wanajamvi kuwa mume wangu ananiridhisha na ni 'mkulima' mzuri sana tatizo liko kwangu sio kwake.Niliwaambia kuwa nimepangiwa safari ya kikazi Arusha jumapili sasa niliporudi ofisini leo baada ya kupumzika siku mbili nimeambiwa kwenye safari tutakuwa watatu na yule binti akiwepo,hapa nimeishiwa nguvu nilidhani ningetumia muda huo kujaribu kuweka mawazo sawa lakini naona mtihani unazidi kuwa mgumu.Mkurugenzi anadai kwakuwa hawa wawili ni wageni kazini huu ni muda mzuri kwa wao kujua yanayoendelea kwenye matawi ya kampuni na kupata uzoefu,laiti angejua!
 
Nadhani sasa huko utaenda "kummega" na hilo pepo lako lilivyojiinua sipati picha,
nina wasiwasi kama mnapataka mvinyo, kama huyo dada anapata mvinyo basi kaisha yaani nina uhakika kaisha, Mungu akupe nini tena DDD
 
Nawahakikishia wanajamvi kuwa mume wangu ananiridhisha na ni 'mkulima' mzuri sana tatizo liko kwangu sio kwake.Niliwaambia kuwa nimepangiwa safari ya kikazi Arusha jumapili sasa niliporudi ofisini leo baada ya kupumzika siku mbili nimeambiwa kwenye safari tutakuwa watatu na yule binti akiwepo,hapa nimeishiwa nguvu nilidhani ningetumia muda huo kujaribu kuweka mawazo sawa lakini naona mtihani unazidi kuwa mgumu.Mkurugenzi anadai kwakuwa hawa wawili ni wageni kazini huu ni muda mzuri kwa wao kujua yanayoendelea kwenye matawi ya kampuni na kupata uzoefu,laiti angejua!

Hongera, ulichokitamani siku nyingi kimeshushwa kwenye kisahani cha dhahabu ! Ukirudi Arusha tujulishe mambo yalivyokuwa !
 
Nawahakikishia wanajamvi kuwa mume wangu ananiridhisha na ni 'mkulima' mzuri sana tatizo liko kwangu sio kwake.Niliwaambia kuwa nimepangiwa safari ya kikazi Arusha jumapili sasa niliporudi ofisini leo baada ya kupumzika siku mbili nimeambiwa kwenye safari tutakuwa watatu na yule binti akiwepo,hapa nimeishiwa nguvu nilidhani ningetumia muda huo kujaribu kuweka mawazo sawa lakini naona mtihani unazidi kuwa mgumu.Mkurugenzi anadai kwakuwa hawa wawili ni wageni kazini huu ni muda mzuri kwa wao kujua yanayoendelea kwenye matawi ya kampuni na kupata uzoefu,laiti angejua!

honey huna hata haya?unahitaji utaalam wa kisaikolojia
 
Kw ahiyo kwenye red. wewe ni mwongo, inawezekana hata huyo aliyekuzingua si mwanamke mwenzako, ni Bosi wako. You are just looking for a psychological satisfaction ya kuachana na ye ukaambatane na mwingine.

Duu hii kali... Damn naona umegundua hili... JF kaazi kweli kweli :yuck:
 
A questiojn stil being asked a lot ,and researches still going on to find out if homosexuality is caused genetically and it's not just an acquired behaviour . Some researches suggested that women have greater connectivity between the two halves of their brain ,,and this connectivity is the cause of greater intuitiveness and creativity in women !!!! Same with gay men ,,and their brains are functioning quite the same as women's !!!!

So my take is there is no doubt that it can be either a personal choice or genetic. But because we all have the freedom of choice, i think each one of us can choose the life style which he/she wanna live, whether as a homosexual, heterosexual or bisexual, just a mater of choice!! Even you Diana doublediff can choose which lifestyle u wanna live.....

upupu wa shetani, hawa ndo walewale, hawa ndo type ya watu wameenda huko ulaya wamesogonolewa hadi wamechoka, ikabidi wakubaliane na akili za wamagaribi..za kusapoti ushoga...hili ndo tatizo la dada zetu kwenda ulaya....unakera kusikiliza we dada uliyeandika hapa..
 
Nakumbuka hata ujio wako ulikuwa ni wa matata tu. Hiyo dabo dif ndio inayokukula. HAMA fasta!
 
Mhhh, hiii nayo kali, huyo ni pepo tu wala huhitaji kumtafuta mchawi, all you need is just to change your mind.....

Tulia wewe, mume unaye, haya hili nalo latoka wapi...
 
Hebu ipotezee hali hiyo, fanya mazoezi mengi ya viungo na usimpe mgongo mumeo, mruhusu auchezee mwili wako na hizo fikra potovu zitakuishia.
 
Ngozi Zomukama (Mapenzi ya Bwana),

Hizo ni HISIA za kutengeneza na sio maumbile. Ukichunguza sana wanawake wanaojifanya kuvutiwa na wanawake wametoka katika familia ambazo wazazi walikuwa na mtafaruku day in - day out na kisaokolojia hao mabinti wanakuwa wanachukia wanaume abadani. Matokeo yake sasa wao ndio wanajivisha uanaume! Absurd!

Haya matatizo yanahusiana na mambo mengi ikiwamo:- mazingira mtu aliyokulia (amekuwa kwenye jamii ya watu wenye kupenda hisia za mapenzi na watu wa jinsia moja), matatizo ya kisaikolojia kutokana na background za mahusiano kwenye familia zao kama ulivyotaja. Zaidi biologia ya mtu, hasa endocrinology yake ina mchango mkubwa katika mtu kutaka kuwa na mahusiano ya watu wa jinsia yake. Majority ya watu wa aina hii, hata wanaume wanaotamani wanaume wenzao au wanautamani kuliwa na wanaume wenzao wana hormanal imbalances.

Mfano cheki hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...ke-na-kiume-maswali-magumu-kwa-jf-doctor.html

Kwa ujumla hizi tabia
 
Mungu atusaidie na hizi roho chafu zinazoitikisa afrika sasa

mama unaitaji msaada wa kirohp na kisaikolojia/kitabibu haraka,kila tabia inawezekana kubadilika ni mtu tu ukubali au kuikataa kwa namna zote,siamini kama usagaji ni genetics hata kidogo
hii ni roho ya sodoma na gomora!!
 
Nashukuru wote mliochangia mada hii wengine mmenifariji,wengine kunishutumu,wengine mumenishauri asanteni wote.Nimepata e-mail kutoka ofisini ikinitaka kwenda kurekebisha mambo flani kwenye ofisi ya Arusha kazi itakayochukua wiki moja,natarajia kutumia muda huo kujaribu kuweka hisia zangu sawa ikishindikana nitahamia ike kampuni ingine.Asanteni tena.

Ukija Arusha nitafute nikupe dawa. Utarudi umesharekebishika.
 
bora uende hospitali wakakuchome sindano ya kuongeza ukuaji wa hormones za kike ili uepukane na hali hii ya ujike dume..Pia usisahau maombi kwani kama una nia njema ya kuepuka hilo shawishi basi hakuna kisichowezekana kwa Mwenye Enzi
 
Back
Top Bottom