Mpendwa Dada Yangu,
Pole sana kwa hilo,wewe ni mgonjwa na una pepo la ngono,kwa hiyo dawa sio kuhama ofisi huko utawakuta wanawake wenzako na utawatamani,dawa ni kutubu na kumrudia Mungu Aliye Hai,
Huna maadili ya Afrika,umeasirika na unayo yaona kwenye wavuti za ngono,Kama neno la Mungu linavyo sema mahusiano ya mapenzi ni kati ya Mume na Mke,vinginevyo ni dhambi na laana,na wewe uko kwenye dhambi na laana.
Pole sana na waone watu wa kukupa ushauri nasaha maana wewe uko kwenye chumba cha wagonjwa mahututi,
Mimi nitakuwa ninakuombea ili Mungu wako akurudishie fahamu zako kuwa wewe ni mke wa mtu na unatakiwa kumtamani mumeo,
Mungu akubadilishe,na Mawazo yako hayo machafu yashindwe kwa Jina la YESU,ameni,
Elisante Yona