Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

duh ni hatari lakini c jambo la kushangaza hata kweyu yapo cha msingi jaribu kumshinda shetani kwa kukaa mbali na huyo mrembo ukishindwa kabisa mtokee may be ana interest kama zako c lazma uende direct unaweza muomba no ukawa unachat nae ili kujua fungu lake,good luck
 
duh no hatari lakini c jambo la kushangaza hata kwetu wapo cha msingi jaribu kumshinda shetani kwa kukaa mbali na huyo mrembo ukishindwa kabisa mtokee may be ana interest kama zako c lazma uende direct unaweza muomba no ukawa unachat nae ili kujua fungu lake,good luck
 
Kemea sana hiyo roho ya Kishetani.kema sana kwa Jina la Yesu, Jifunike na Damu ya Yesu. Kama una tania, epuka sana hiyo roho, utaangamia.
 
Kuhama ofisi haisaidii kwani huko utakapohamia unaweza ukavutiwa zaidi na engine kuliko Huyo.
La msingi mkabidhi mungu maisha yako kama kweli unahitaji mabadiliko katika maisha yako
 
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.Mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini kwetu na toka nimuone kwa mara ya kwanza nimekuwa na hisia kali juu yake.

Dada huyu ana tabia ya kutukumbatia kina dada wenzake anapotusalimia asubuhi sasa huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu napenda tukumbatiane kwa muda mrefu na labda tungekuwa peke yetu ningetamani kumbusu mdomoni na hata kumpapasa. Namuwaza huyu dada muda wote hata kumuota usiku.Ndoa yangu ina miezi sita tu nampenda mume wangu lakini nashindwa kudhibiti hisia hizi kwa dada huyu.

Dada mwenyewe ana msimamo kaisha watolea nje vijana wawili ofisini hapa kuwa hataki mpenzi kwa sasa anataka kuweka akili zake zote kazini. Msichana ni mrembo kweli, mrefu, mwembamba na ana lips za kufa mtu. Nafikiria kuacha kazi na kuhamia ofisi nyingine kuna kampuni waliniambia muda wowote ninaotaka watanichukua.

Nishaurini wanajamvi wenzangu yamenikuta.

Its ok im a counselor a realy need to help you i dont need any thing from you send your email or phone number it will have to be in private post it hear then ill call if you realy need help
 
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.Mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini kwetu na toka nimuone kwa mara ya kwanza nimekuwa na hisia kali juu yake.

Dada huyu ana tabia ya kutukumbatia kina dada wenzake anapotusalimia asubuhi sasa huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu napenda tukumbatiane kwa muda mrefu na labda tungekuwa peke yetu ningetamani kumbusu mdomoni na hata kumpapasa. Namuwaza huyu dada muda wote hata kumuota usiku.Ndoa yangu ina miezi sita tu nampenda mume wangu lakini nashindwa kudhibiti hisia hizi kwa dada huyu.

Dada mwenyewe ana msimamo kaisha watolea nje vijana wawili ofisini hapa kuwa hataki mpenzi kwa sasa anataka kuweka akili zake zote kazini. Msichana ni mrembo kweli, mrefu, mwembamba na ana lips za kufa mtu. Nafikiria kuacha kazi na kuhamia ofisi nyingine kuna kampuni waliniambia muda wowote ninaotaka watanichukua.

Nishaurini wanajamvi wenzangu yamenikuta.

Acha ujinga ..wewe
Tena usirudie kusema hivo..
Hv unawazimu au pepo ..

ACHA UJINGA HUO.
 
Thread ya zamani! Ameshabadilishaga na id kitambo, kwa sasa anajiita sijui nani vile
 
Nlipokuwa sekondari na baadae chuo nilihisi kuwa na hisia za kimapenzi na wanawake wenzangu lakini niliweza kuzishinda na kuendelea na maisha yangu.Mwezi mmoja ulopita kuna dada kaajiriwa ofisini kwetu na toka nimuone kwa mara ya kwanza nimekuwa na hisia kali juu yake.

Dada huyu ana tabia ya kutukumbatia kina dada wenzake anapotusalimia asubuhi sasa huu umekuwa mtihani mkubwa kwangu napenda tukumbatiane kwa muda mrefu na labda tungekuwa peke yetu ningetamani kumbusu mdomoni na hata kumpapasa. Namuwaza huyu dada muda wote hata kumuota usiku.Ndoa yangu ina miezi sita tu nampenda mume wangu lakini nashindwa kudhibiti hisia hizi kwa dada huyu.

Dada mwenyewe ana msimamo kaisha watolea nje vijana wawili ofisini hapa kuwa hataki mpenzi kwa sasa anataka kuweka akili zake zote kazini. Msichana ni mrembo kweli, mrefu, mwembamba na ana lips za kufa mtu. Nafikiria kuacha kazi na kuhamia ofisi nyingine kuna kampuni waliniambia muda wowote ninaotaka watanichukua.

Nishaurini wanajamvi wenzangu yamenikuta.

Mie kuna mmoja ananisumbua kwel. Hataki wanaume .
Njoo pm nikupe mtawezana
 
Aaahh...aya mambo yalshatabiliwa kua yatatokea .... naona dunia inakarbia kufka mwisho....wana jamv tusalin jaman...
 
Back
Top Bottom