Katika hali ya kawaida Mamba ni Mamba, kamwe mamba hawezi kuwa kenge. Kwa maoni yangu kama umefikia hali hiyo ina maana wewe ni mtu wa namna hiyo utake usitake, na inawezekana kuwa mumeo unampenda kwa sababu nyingine tu other than love, na hawezi kukata kiu uliyonayo. As long as unaishi kiu hiyo uliyonayo haiwezi kukatika mpaka uyanywe hayo maji, hata ukiacha kazi na kukimbilia sehemu nyingine still kiu hiyo haitakatika. Suluhisho zuri ni kufanya kila unaloweza umwambie na usikilize response yake, ikiwa positive na akakubali kukufichia siri shukuru mungu, do her or let her do you kiu itakatika, na akikataa na kuamua kukusema vibaya uwe tayari kwa consequence.
Katika hali ya kawaida hapa kwetu Tanzania homos wako stigmatised, lakini amini kuwa wako wengi kweli undergound, hasa wanawake. Uliza wasichana waliosoma mikoa ya Kaskazini kama Kilimanjaro, au jaribu kutafuta waliosoma kwenye shule za huko na pekeu love profile zao unaweza kushangaa. wengine sasa ni wake wa watu still wanaendeleza game. So if you are born like that, you are like that hata kama ukijificha kwenye mwavuli wa "mumeo" unayesema "unampenda" utakuwa uanjinyima biological bill of right.
Kwa hiyo usijione mnyonge, go for it but be ready to face the consequence.