Nina hasira, kila nikiomba chuo wananitema

Hop u gud guys

M nlimaliza form six nakubahatka kupata div 2.10 CBG ila kila nkiomba chuo wananitema yaani nmeamua kukaa mpaka mwakan so ssaad[emoji17][emoji17]
Bado hujachelewa udsm leo ndo tarehe 6a mwisho kuapply, sasa ingia kwenye website yao ufanye application kisha chagua hizi kozi huwa hazijai zoology,botany,general science, hakika utachaguliwa then ukishafika chuo unaweza andika barua kuhamia kozi unayotaka.

Angalizo ukipata usisahau kuleta shukran[emoji4]
 
Pole at the mean time let's be friends. Nilisoma HKL nikapata division 4 nikaambiwa nianze certificate nikagoma hadi leo nipo tu.
[emoji848]
tapatalk_1540037290463.jpeg
 
Hop u gud guys

M nlimaliza form six nakubahatka kupata div 2.10 CBG ila kila nkiomba chuo wananitema yaani nmeamua kukaa mpaka mwakan so ssaad😔😔
ulikuwa unaomba kozi gani na ufaulu wako ukoje? yaani c? b? g? bam pia ngapi?
usije kuwa unaomba makozi yenye ushindani mkubwa,muda bado upo usikate tamaa kuna siku kama mbili hivi kwa udms, udom,ardhi n.k
ukisema mwakani unaweza kukuta ushindani ni mara dufu
 
ulikua unaomba kozi zp mkuu... kwa matokeo yako tz hii huwez kosa chuo
niliomba SUA biotechnology and laboratory science, food science and technology nikatemwa round ya kwanza hadi ya tatu
 
Bado hujachelewa udsm leo ndo tarehe 6a mwisho kuapply, sasa ingia kwenye website yao ufanye application kisha chagua hizi kozi huwa hazijai zoology,botany,general science, hakika utachaguliwa then ukishafika chuo unaweza andika barua kuhamia kozi unayotaka.

Angalizo ukipata usisahau kuleta shukran[emoji4]
thank you let me do that
 
Pole at the mean time let's be friends. Nilisoma HKL nikapata division 4 nikaambiwa nianze certificate nikagoma hadi leo nipo tu.
asee pole ...bt HKL si yakupata 4 pambana maisha popote
 
ulikuwa unaomba kozi gani na ufaulu wako ukoje? yaani c? b? g? bam pia ngapi?
usije kuwa unaomba makozi yenye ushindani mkubwa,muda bado upo usikate tamaa kuna siku kama mbili hivi kwa udms, udom,ardhi n.k
ukisema mwakani unaweza kukuta ushindani ni mara dufu
tatizo course kwa ardhi unaeza nshauri hapa
 
Hop u gud guys

M nlimaliza form six nakubahatka kupata div 2.10 CBG ila kila nkiomba chuo wananitema yaani nmeamua kukaa mpaka mwakan so ssaad😔😔
ULITAKA KUSOMA NINI ?
 
Pole Ndugu Tambua Hilo Sio Tatizo Lako Peke Yako Siamini Kinachotokea Raund 4 Olaaa Wanataka Tukalime Matembele
 
ulikuwa unaomba kozi gani na ufaulu wako ukoje? yaani c? b? g? bam pia ngapi?
usije kuwa unaomba makozi yenye ushindani mkubwa,muda bado upo usikate tamaa kuna siku kama mbili hivi kwa udms, udom,ardhi n.k
ukisema mwakani unaweza kukuta ushindani ni mara dufu
chem D geog C Bios C bam E...nliomba food and science technology SUA na UDSm pia bt it was not my luck
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom