Nina hasira, kila nikiomba chuo wananitema

Nina hasira, kila nikiomba chuo wananitema

Kwa kuomba vyuo 2 tu ni lazma ukose.unaombaje vyuo viwili tu?tena sua na ud bora ata ungekua PCB... Cbg!!!apply vyuo vng kadri uwezavyo.usipofanya hivyo chuo utakisikia mwakani..Ndo hayo ya mwaka Jana mtu anaomba chuo kimoja,,aisee kuna binti amesota mwaka mzima om na dv1.8 yake tena PCB
 
Angalia kozi unazoomba

Pengine hapo unakomaa na MD na Pharmacy
 
Kwa kuomba vyuo 2 tu ni lazma ukose.unaombaje vyuo viwili tu?tena sua na ud bora ata ungekua PCB... Cbg!!!apply vyuo vng kadri uwezavyo.usipofanya hivyo chuo utakisikia mwakani..Ndo hayo ya mwaka Jana mtu anaomba chuo kimoja,,aisee kuna binti amesota mwaka mzima om na dv1.8 yake tena PCB
dooh😕😕
 
chem D geog C Bios C bam E...nliomba food and science technology SUA na UDSm pia bt it was not my luck
matokeo mazuri sema mwaka huu one nyingi unaweza kukuta waliochaguliwa wana AAA aau BBB n.k ila usikate tamaa wewe omba hata ukisikia kuna 5th round
 
We subir mwakan banaa usije ukakimbilia ma faculity uyapend ukijifurahsha utabadlisha chuon. kma una mishe ya kufanya tulia kitaa subir mwakan uende shule
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom