Nina hasira, kila nikiomba chuo wananitema

Nina hasira, kila nikiomba chuo wananitema

chem D geog C Bios C bam E...nliomba food and science technology SUA na UDSm pia bt it was not my luck
Pa1 na kwamba kuna bahati Lakini nadhan kuna sehemu unafanya makosa.SUA unaomba kozi mbili kwann wakati wanaruhusu kuomba kozi maximum 5 kwa awamu 1? Unajua pengine (sina uhakika) watu wanavitupia lawama vyuo kumbe makosa pia yanakua kwa waombaji.Kikubwa kua makini kipindi hiki kifupi,Chagua kozi yoyote ya chuo kizuri then ukabadilishe chuo kama hutaki kuahirisha mwaka coz sidhani kama unaweza kupata kozi nzuri kwa sasa
 
nah.....cjamean nmeomba mbili nikionba tano hio ikiwemo ya agriculture in general....bac informatics na astronomy
 
nah.....cjamean nmeomba mbili nikionba tano hio ikiwemo ya agriculture in general....bac informatics na astronomy
Duh!Bac utakua hauna bahati mpenzi.Pole aise.Ila utapata vuta subira
 
Hop u gud guys

M nlimaliza form six nakubahatka kupata div 2.10 CBG ila kila nkiomba chuo wananitema yaani nmeamua kukaa mpaka mwakan so ssaad😔😔
umekosa hata Kampala International University kile cha gongo la mboto?
 
niliomba SUA biotechnology and laboratory science, food science and technology nikatemwa round ya kwanza hadi ya tatu
Hiyo food science kama una msingi mzuri wa Math uende pale DIT imeiva sana
 
Niliona najishusha, sasa hivi najuta
Bado hujachelewa
Nikuambie tu ukweli
Mtu ambaye anaanzia foundation hadi bachelor ana uwezo mkubwa kuliko alyeingia kupitia form six
 
Hop u gud guys

M nlimaliza form six nakubahatka kupata div 2.10 CBG ila kila nkiomba chuo wananitema yaani nmeamua kukaa mpaka mwakan so ssaad[emoji17][emoji17]
Kinachokuangusha pia ni kukosa PhySics kwenye combination yako watu wa CBG wana kozi chache wanazowwza kuomba ukiuliza wanasema hukusoma Physics so ungepata ushauri wa kozi gani uombe labda ingesaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom