Nina hamu .......

Mi sina hamu.. Ngoja niji keep busy labda ntachoka then ntapata hamu!
 
Hii mida ndo huwa napenda kulala, hapa nilipo navuta kausingizi taratibu.....nahisi nitalala usingizi bila kulog out!
 
Hii mida ndo huwa napenda kulala, hapa nilipo navuta kausingizi taratibu.....nahisi nitalala usingizi bila kulog out!

bora ufanye ivyo mkuu...maana ukilog out tu wapita njia waweza kucheza na password wakalog in!...LOL
 
Back
Top Bottom