Nina hamu .......

Nina hamu .......

Mimi bahati mbaya Nina Tango.Kama unatumia sema nikupe
 
Hapa dukani kwetu tunauza magodoro, karibuni lol
 
sina uhakika wa blanketi mpenzi, leo nahisi nitaanzima blanketi la watu langu liko dry cleaner
Njoo nkuazime duvet langu, mie naona sina hamu nalo tena, nimenunua kablanket chepesii, hilo lizito nahisi ndo litakuaa
 
usingizi wa leo ningepata kamkeka tu kangenitosha

mh..! Naona huna hamu wewe, kama unatamani mkeka? Inabidi ulalie godoro bwana, ili hata ukijigeuza usiumie shingo. Ila ulitandike chini kwani ukianza kuota unakimbizwa.....!!!!!!
 
mmmmh leo, maana smile nae hali ya hewa inamtesa jamani
 
....hahaha, dirty minds...mie mawazo yote kwa kilimo kwanza na mazao yangu shambani...
 
Back
Top Bottom