Nina hamu ya...

Wala hata sijasahau kikao mpenzi .. siku ni leo ila muda tu hujanipa bi dada..

ahhhhh mwanaume mtu mzima huyo lazima ajue kulamba, kuviringisha, kuongeza mate .....etc
otherwise kidode kitashika moto zaidi..

Hiyo kinywaji unatumia leo,naomba uwe unatumia kidogo na ice nyingi sana dearest...halafu mziki wa The Boss is wa kitoto,kuwa makini,party ni baada ya nusu saa...sijui kama utaweza kweli,:A S embarassed:
 
Dearest,ngoja nitaweka link,hutaamini....kuna kama belt wanafunga kiunoni na vimiguu unakuwa kama unaendesha baskeli,ukiweka na yale mengine, unakaa sawa.....!!

Hehhehehe. . . Dearest na kuna nyingine ni maalum kwakuvishepu viuno wakati unatoka out. Ila ukitoa hali inarudi vile vile.
 
Hiyo kinywaji unatumia leo,naomba uwe unatumia kidogo na ice nyingi sana dearest...halafu mziki wa The Boss is wa kitoto,kuwa makini,party ni baada ya nusu saa...sijui kama utaweza kweli,:A S embarassed:

ntakuwa hapo usjali dear..
kwa sasa ngoja nijitoe kidogo baadaye basi..:yawn:
 
Rubani huko kwenu jua likiwaka mnakuwa na Sikukuu? πŸ™‚πŸ™‚

Kama kawa Captain jua ni dhahabu eti hahahah lol
ukipoteza muda mrefu ndani utajutia kesho...
 
Reactions: BAK
Kama kawa Captain jua ni dhahabu eti hahahah lol
ukipoteza muda mrefu ndani utajutia kesho...

lol! haya Rubani kaote jua πŸ™‚πŸ™‚ lakini angalia lisiharibu hiyo rangi ya chungwa inayokupendeza kupita kiasi.
 
lol! haya Rubani kaote jua πŸ™‚πŸ™‚ lakini angalia lisiharibu hiyo rangi ya chungwa inayokupendeza kupita kiasi.

Hahahaahah Captain bana..
tunajivundikia sunscreen kwa kwenda mbele spf 30+
ahahahah haya bana usiku mwema my dear ..
ntakutafuta baadaye nkirudi..
πŸ˜›oa
 
Reactions: BAK

Hahahaahah Captain bana..
tunajivundikia sunscreen kwa kwenda mbele spf 30+
ahahahah haya bana usiku mwema my dear ..
ntakutafuta baadaye nkirudi..
πŸ˜›oa

Sawa Rubani πŸ™‚πŸ™‚
 
Kongosho kijiwe poa saana hiki.....lol

Mie nina hamu kama would have been a baby (kwa leo tu) nikae tu ndani nisifanye kazi... Dah!
 
Ina maana mshindi atapata laki moja hela ya kuendea sokoni. loh hautapata washiriki.
 
Kongosho kijiwe poa saana hiki.....lol

Mie nina hamu kama would have been a baby (kwa leo tu) nikae tu ndani nisifanye kazi... Dah!

Naona umeamkia mapema kabisa kijiweni!! Ngoja nipite tu hapa, nimewamiss sana!!!!:tea::music:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…