Nina hamu ya ban!

Nina hamu ya ban!

sasa naanza rasmi...wanaJF wote pamoja na mod nanihiu zenu ndogo......!!!!!!
 
Unajaribu kumbipu izraeli wewe.
 
duuh, hongera sana kama hujawahi kutukana.....sasa ntakufundisha kwa leo ingawa mi ni mtaalam wa kumalizia kama nikianzishiwa.....yaani mi ni mzee wa finishing
Believe me you SIJAWAHI/SIJUI kutukana....
 
Jamani jamani, acheni kunichekesha mie! Tangu lini mtu akaomba kifo? Duh, muwe na wikiendi yenye amani, najua hii ni namna ya kupunguza stress!!!!!
 
nimetukana mno....naona mods wameniogopa kunipa ban!!!
 
si mnasema kiingereza ni rahisi? sasa jibuni haya maswali....
 
Who said english is easy??? Fill in the blank with YES or NO.
1. ____ i don't have brain.

2. ____i don't have sense.

3. ____i am stupid..
 
nitawezaje kula magunia ya chumvi? robo kijiko tu kinanishinda.
haya dada....yaani toka umezaliwa ukijumlisha hivyo vijiko vidogvidogo utapata magunia.....
sasa jibu hayo maswali hapo juu.....kwenye bandiko namba 57.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom