Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,695
- 1,772
Duuh, kila siku watu wanachapwa ban....halaf wanalalamikaaaaa!
mi nina hamu na ban, nifanyeje?
mi nina hamu na ban, nifanyeje?
nitukane.
Unawashwa na ban ya muda gani ili nikushauri uipate accurately?Duuh, kila siku watu wanachapwa ban....halaf wanalalamikaaaaa!
mi nina hamu na ban, nifanyeje?
anza wewe, mi huwa ni mtaalamu wa kurudisha mtu akinitukana......sijui kumuanza mtu.....
Mtusi FF.Duuh, kila siku watu wanachapwa ban....halaf wanalalamikaaaaa!
mi nina hamu na ban, nifanyeje?
JF bana, haiishi vijamboz! mie nasubiri uwe banned, nikupe pole!
nanihiu yako we!
Mtusi FF.
ka mwezi tu...lkn sina namna ya kuipata...nawashwa na ban jameni nisaidieni....Unawashwa na ban ya muda gani ili nikushauri uipate accurately?
akaa..!!! mi natokea mbeya, mbona hapawashi?Haya sasa tuanze.....unawashwa unakotoka.