Nina hamu ya ban!

Nina hamu ya ban!

kama vipi mtu anianzishie halaf mi niwamalize kabisa hao ma-mods...
 
Ndio 'great thinker', umeona mawazo yako hayajengi!? ...sasa ulivyokuja hapa hukujua!
 
I am missing Malaria sugu...nina hamu nimfate huko aliko....yeye alifanikiwaje?.....
 
kikwetu ban inamaanisha kuingiliwa kinyume na maumbile!sasa hiyo ndo wewe unaitaka au?
niiningiliwe kwani mi nina mlango?
kweli ban inaninyemelea....asante sasa noja niandae kutoa tamko.
 
Back
Top Bottom