Nina hamu mpaka basi.......

Nina hamu mpaka basi.......

Mwenye hamu wewe unaxema PUMBA hapa acha utoto kwanza umebalehe lini
 
ntakutafuta hukuhuku sauzi bichii mimi sitacheza mbali na maeneo hayoo unielezee tu apppearance yako inatosha
 
Acha ushamba beach mpaka weekend.

Mr handsome hadi huku upo???
haya unataka aende beach j3??wakati mwenzako anatafuta mlo mkono uende kinywani
by the way kila nikisoma comments zako nakugundua mtu wa namna gani we ni kula kulala tu na hapo sasa hivi unavijisent vya boom basi unajiona mjanja kama wewe hakuna na mwaka kama hujao.....
Wewe ni kijana mdogo sana nasikitika tz kuwa na kijana mwenye akili kama zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom