Nina furaha kujiunga na jf

Nina furaha kujiunga na jf

muhandu

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
311
Reaction score
84
Nilikuwa nasikia tu.kumbe hata mimi nimeweza kuwa mdau.ni jukwaa zuri kuwepo.
 
Pia usichelewe kumjua SALMA2015, mwanakijiji.. na wengineo.. ila pia achana na akina mwita25, tropical, chogo na wengineo.. jitenge nao mwayego
 
Karibu sana, ila uzingatie kanuni na mashariti, vinginevyo utakuwa banned.
 
Pia kuna hoja za maudhi humu kikubwa uje na uvumilivu wa mawazo yaliyotofauti na mtizamo wako
 
1.1300027507.karibu-sana.jpg
 
Karibu aisee,ila zingatia kanuni na taratibu za hii nyumba
 
Mimi nakukaribisha ila naomba gender yako nikusajili nisije nikakuweka katika orodha isiyo kuhusu!Karibu mimi ni KakaKiiza the intertainer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom