Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,756
Standard 4.Bora wewe form four leaver
Sounds like p2Standard 4.
Bila shaka unazunguka P2 hizi dawa za demu wangu!Sounds like p2
Wewe Ulikuwa hujua kuwa darasa la 7 ndio waajiri wazuri?Hiyo degree yako umeipataje kama mambo madogo kama hayo hukuyajua? Rudisha degree ya watu
😂 😂 😂 😂 😂Una degree ila uandishi wako ni wa darasa la 7.
Maji hufuata mkondo, uandishi wa darasa la 7 umefuata boss wa darasa la 7.
Una degree ila uandishi wako ni wa darasa la 7.
Maji hufuata mkondo, uandishi wa darasa la 7 umefuata boss wa darasa la 7.
Una degree ila uandishi wako ni wa darasa la 7.
Maji hufuata mkondo, uandishi wa darasa la 7 umefuata boss wa darasa la 7.
Hakuna makosa.Mkuu kwenye mwandiko wake umegundua makosa yapi ya uandishi?
Hakuna makosa.