Nina degree nimegundua nimeajiriwa na darasa la saba

Hongera sana.
Piga kazi kwa weledi, wengine tumekosa kuajiriwa hata na mtu wa la 4, piga kazi.
 
Elimu ya Kitanzania ni ya kipumbavu sana na huwa inawachelewesha sana wasomi wake wakiamini kwamba makaratasi yao ndio yatafanya kila kitu na miujiza yote itakuja Kama huyu mtoa mada.
Angalia Bakhresa hajasoma lakini ameajiri wasomi wa kutoka hadi Ulaya,Asia achana na wasomi wa huku waliotoka jalalani kwa kukariri theories.
 
Jiwe ana kadgree tu lkn kamfukuza kazi yuleee, Professsor Mruri- wa Mugango vijijini. sijui mjini!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom