Ndugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana.
Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo cha Uandishi wa Habari nikasoma semester moja ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na changamoto ya kifedha lakini baada ya mwaka mmoja nilijiunga na chuo cha DIT na kuchukua kozi ya information technology (basic certificate in information technology) niliyosoma kwa mwaka mmoja.
Naomba msaada wenu, kwa sasa nipo Dar es Salaam Kigamboni. Kwa mawasiliano +255783807803