information technology

  1. N

    Information technology

    Habari ndugu, jina Nicodemus mollel makazi Arusha Tanzania maombi yangu nimesoma information technology(IT),ngazi ya cheti nimebase upande wa TECHNICIAN Natafuta kazi ya IT au yoyote inayohusiana na mambo ya IT email: nicklasmollel@gmail'com asanteni
  2. sungura23

    Kazi/Ajira masaa ya ziada

    Habari Wana JF! Poleni kwa shughuli za kila siku za ujenzi wa taifa letu pendwa. Leo npo jukwaa hili nipate mawazo/maoni/ushauri wenu. Kwa sasa ninafanya kazi za sales kwenye kampuni moja ndogo hapa jijini Dar es Salaam. Ajira hii naitumikia kuanzia asubuhi saa 1 na hadi kufikia mchana saa 6...
Top