mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 681
- Thread starter
-
- #21
du hatari sanaAllergies na latex hua zipo lakini ni very rare
Sasa ndo aangalie mazingira aliokuepo.. 😂😂.🤔 inadai
Hiyo ndude ndo inaitwaje?Kesho yake mambo huwa hivi.View attachment 2536905
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kinga ni bora kuliko tiba, hatujapima siwezi uza mechi kamwe acha tu nile pipi na maganda yake.Sasa ndo aangalie mazingira aliokuepo.. 😂😂.
Hatumii cndm alaf anachukuliwa na mtu kugegedwa.. Its risk hata kwake mwenyewe mbna.. Labda awe na other measures za kuepuka friction.. 😔
Naunga mkono hoja..kataa condomDon't be so serious with life, no one has gotten out of it alive.
Kula nyama kwa nyama kama Mungu alivyodhamiria. Mengine ni ajali kazini tu
Kwa hiyo huwa unatumia nn!Mi napenda kutumia kondomu ila kupata size yangu ndio mtihani.
daa sio poa kabisaAnataka kukuingiza kwenye grid ya Taifa
Acha basi 😅😅😅Wapo mkuu.. Kuna watu hadi alergy na spms piaa.. Yan akitumia anawashwaa vibayaaa mnoo😔😔
Sasa mtu anajijua ana allergy alafu anatakaje show kiholela loh😞😞
Ni bora ule kwa macho.Unakutana na mtu kwenye maeneo ya raha wenyewe mnakula biere na kuvibe na mwisho wa siku mnaishia kwenye one night stand.
Kwenye tendo mtu anakuambia anataka mkulane nyama kwa nyama kwa madai eti akitumia kondomu zinamletea Aleji. Hlf hapo unakuta hamjapima afya wala hamjuani hali zenu za kiafya.
Jamani hivi kuna ukweli hapa au ndo mambo ya kuingizana kwenye mzunguko?
noma aisee sio unyama kabisaAnataka kukuingiza kwenye grid ya Taifa
.....na mimi pia mipira huwa hainitoshi, zinakua kubwa mno....Unakutana na mtu kwenye maeneo ya raha wenyewe mnakula biere na kuvibe na mwisho wa siku mnaishia kwenye one night stand.
Kwenye tendo mtu anakuambia anataka mkulane nyama kwa nyama kwa madai eti akitumia kondomu zinamletea Aleji. Hlf hapo unakuta hamjapima afya wala hamjuani hali zenu za kiafya.
Jamani hivi kuna ukweli hapa au ndo mambo ya kuingizana kwenye mzunguko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho yake mambo huwa hivi.View attachment 2536905
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ukimwi wa siku hizi umetulia tulii kama haupo vile...
Kabisaaa yaanYaani ukiona mtu mmekutana mazingira hayo halafu haulizii kondom. Awe wa kike au wa kiume vaa nguo uondoke.
Huyo hata ukimlazimisha kutumia condom bado atakuambukiza ugonjwa wowote tu.