mwemweremwemwere
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 605
- 681
Allergies na latex hua zipo lakini ni very rareUnakutana na mtu kwenye maeneo ya raha wenyewe mnakula biere na kuvibe na mwisho wa siku mnaishia kwenye one night stand.
Kwenye tendo mtu anakuambia anataka mkulane nyama kwa nyama kwa madai eti akitumia kondomu zinamletea Aleji. Hlf hapo unakuta hamjapima afya wala hamjuani hali zenu za kiafya.
Jamani hivi kuna ukweli hapa au ndo mambo ya kuingizana kwenye mzunguko?
Umeme wa mtelemko freeAnataka kukuingiza kwenye grid ya Taifa
[emoji28][emoji28]Kesho yake mambo huwa hivi.View attachment 2536905
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
NAKAZIAKesho yake mambo huwa hivi.View attachment 2536905
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nautafuta kwelNa ukimwi wa siku hizi umetulia tulii kama haupo vile...
Hao wapogo ila kwa wale magwiji wanatumia mafuta kama 1.5litr[emoji3]Unakutana na mtu kwenye maeneo ya raha wenyewe mnakula biere na kuvibe na mwisho wa siku mnaishia kwenye one night stand.
Kwenye tendo mtu anakuambia anataka mkulane nyama kwa nyama kwa madai eti akitumia kondomu zinamletea Aleji. Hlf hapo unakuta hamjapima afya wala hamjuani hali zenu za kiafya.
Jamani hivi kuna ukweli hapa au ndo mambo ya kuingizana kwenye mzunguko?
Anaweza tembea na umeme ila nyumbani wakakosa luku πIla kuwa makini unaweza ungwa umeme lakini usiwe unanunua LUKU
Anaweza tembea na umeme ila nyumbani wakakosa luku π
Wapo mkuu.. Kuna watu hadi alergy na spms piaa.. Yan akitumia anawashwaa vibayaaa mnooππUnakutana na mtu kwenye maeneo ya raha wenyewe mnakula biere na kuvibe na mwisho wa siku mnaishia kwenye one night stand.
Kwenye tendo mtu anakuambia anataka mkulane nyama kwa nyama kwa madai eti akitumia kondomu zinamletea Aleji. Hlf hapo unakuta hamjapima afya wala hamjuani hali zenu za kiafya.
Jamani hivi kuna ukweli hapa au ndo mambo ya kuingizana kwenye mzunguko?
π€ inadaiWapo mkuu.. Kuna watu hadi alergy na spms piaa.. Yan akitumia anawashwaa vibayaaa mnooππ
Sasa mtu anajijua ana allergy alafu anatakaje show kiholela lohππ