Nina 1Mil nataka post zilizo toka Udom

Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.

NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea

Sasa ndugu huo si mtaji tosha kabisa wa kuanzisha biashara? Kwanini Watz tunapenda kuajiriwa, achana na mambo ya kuajiriwa tumia hiyo fedha kama mtaji anzisha biashara yako. Hela yote hiyo uihonge kisa kazi ya kuajiriwa!!!!!!!!!!!
 
Itakua umegraduate hapo hapo kwenye hicho chuo chenu cha KATA udom.
Unamawazo ya kikata kata sana,
 
Sasa ndugu huo si mtaji tosha kabisa wa kuanzisha biashara? Kwanini Watz tunapenda kuajiriwa, achana na mambo ya kuajiriwa tumia hiyo fedha kama mtaji anzisha biashara yako. Hela yote hiyo uihonge kisa kazi ya kuajiriwa!!!!!!!!!!!

mbona hamsemi biashara gani ya mtaji wa million 1 amboya itatoa faida inayoweza kusomesha watoto,kuwalisha na kupata fedha ya kujikimu. Tusidanganyane bwana nyie mnakazi ndio maana ni rahisi kumwaga pumba zenu humu, istoshe hio hela ni mshahara wa mwezi moja tu na salio lina baki n i'm willing 2 double the price. Hata kama ctapa hizo post hata bado vimemo vitapita tu kwa watoto wa wakubwa
 
Kazi siku hizi zinanunuliwa? Hii ni price tag ya kazi au ni corruption au ni nini? Au kazi UDOM zinapatikana kwa tender with non-refundalbe fees au? It seems credibility ya staff wa UDOM, mhhh!!! Kama ni kwa merit au fezaaaaa!!! Prof. Idrisa Kikula upo? Watch out!!!
 
Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.

NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea
wewe ni me au ke kama ni ke basi usipate shida ni pm mambo yameisha.nitajie na post uitakayo
 
Mkuu wewe jaribu bahati yako tu huku ukimuomba mungu. Hiyo m yako inaweza ikaenda na ajira usipate.
 
mbona hamsemi biashara gani ya mtaji wa million 1 amboya itatoa faida inayoweza kusomesha watoto,kuwalisha na kupata fedha ya kujikimu.

unaweza ukatafuta hata mashamba ulime, muone Malila atakupa ushauri mzuri wa kilimo. Muone LAT na babalao pia watakusaidia katika mambo ya biashara. Nafasi ya kujikimu maisha bado unayo. Unaweza ukaanza na biashara huku unatafuta kazi taratibu. Hakuna sababu ya kunenepesha masharubu ya mtu kwa hiyo milioni.
 
Last edited by a moderator:
pole na hongera......ni kweli kuwa bila kutoa chochote hufikii malengo ulojiwekea,japo hutolewa kwa kificho....na mtu kuweka wazi lililopo kifichoni kwangu si kosa big up kwa kufunguka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom