Nina 1Mil nataka post zilizo toka Udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina 1Mil nataka post zilizo toka Udom

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by spike, Aug 26, 2012.

 1. spike

  spike Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.

  NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wasiliana na Mlacha ndio mpango mzima pale udom
   
 3. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ongeza hela hiyo tuongee.
   
 4. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  vumbapu wewe ndo ngajiu wa kutuandikia hapa
   
 5. Gooogle

  Gooogle Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka umuuzie kale ka-post kako nini.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Yaan kama hatuna cha maana tusichangie! Kwa hiyo hichi cha kununua kazi umeona ndo cha maana! Safari bado ndefu sana aisee! Kha!
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  huwezi pata wa kumpa hako ka ela kako....
   
 8. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mshonee "mkuu wa kaya" suti tano na hako ka milioni kako then umpelekee afu umwambie shida yako atakupa hata u DVC(Deputy Vice Chancelor).
   
 9. spike

  spike Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  niongeze ngapi?
   
 10. spike

  spike Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  safari bado ndefu sana hata usishangaee, watakapo kuja kukununua wewe hapo ndio ushangae co kununua kazi
   
 11. spike

  spike Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  hata maandishi yanasadiki akili yako inafikiri kinyumenyume,sio kosa lako
   
 12. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kama upo tayari kuangusha vazi lako mbona fasta tu.
   
 13. spike

  spike Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Duh....pole sana kumbe wewe ulidondosha vazi kupata hapo ulipo. Mi nataka nitumie jeuli ya pesa
   
 14. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Unanikumbusha usemi huu:
  silaha pesa ,kisu mzigo.
   
 15. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo mil 1 kwanini ucfanye ka-ujasiliamali mkuu?.
   
 16. n

  ndumaely Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli kusoma sikufuta ujinga!nahuo ndo mwisho wa akili yako kufikiri.ndo nyie ambao mpo tayari hata kuua au kuroga ili upate kaz flan!no wonder madudu hayaish nchi hii..kafungue hata biashara yakuuza vichwa vya kuku waweza faidika...nonsense
   
 17. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  inawezekana mtoa thread hiyo degree yake niya chup....,kwahiyo hawezi kufurukuta kwenye soko la ajira,kama anaweza kuhonga pesa kupata kazi ,basi atakuhonga vitu vingine sio shida kwake
   
 18. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #18
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee babaangu hako ka milion kako kanunue guta uendeshe
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hiyo 1mill ni hongo au nini sasa?
   
 20. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #20
  Aug 27, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hiyo inatosha nauli ya kwenda Nigeria na kurudi, usihangaike, fanya hivyo na kazi utapata
   
Loading...