Nina 1Mil nataka post zilizo toka Udom

Yaan kama hatuna cha maana tusichangie! Kwa hiyo hichi cha kununua kazi umeona ndo cha maana! Safari bado ndefu sana aisee! Kha!

Mkuu usishangae hilo kwani hongo sikuhizi zipo mpaka kwenye matangazo ndo maana anaona nila msingi
 
inawezekana mtoa thread hiyo degree yake niya chup....,kwahiyo hawezi kufurukuta kwenye soko la ajira,kama anaweza kuhonga pesa kupata kazi ,basi atakuhonga vitu vingine sio shida kwake

Hajasema hata elimu yake huenda hata ni level ya kina mwaanasha
 
Ni kama namuelewa Spike, yeye katangaza dau na inawezekana watu wanaendelea kum'pm, lakini mwingine anategemea ndugu yake mwenye 'nafasi' udom ampigie pande wakati kuna mwingine ye anasubiria tarehe ya kuanza kazi tu kaishaambiwa awasubirie kidogo wafate taratibu za serikali kutangaza kazi, usaili n.k....yote kwa yote mzalendo endelea kutuma maombi usikate tamaa wanaopata kazi kwa haki na kwa upendeleo wote wapo.
 
kwa hiyo milioni moja kazi udom unapata mimi na ushahidi zaidi ya watu 3 wazazi wao walitoa milioni na kazi wakapata
 
kwa hiyo milioni moja kazi udom unapata mimi na ushahidi zaidi ya watu 3 wazazi wao walitoa milioni na kazi wakapata

hao wazazi akili za sitimamu,yaani wamsomeshe mtoto,kazi wamnunulie mwisho wataenda ofisini kumfanyia kazi!
 
unaish TZ au dunia gani wewe?

kibongo bongo siku hizi kupata kazi utasanda kama huna reffa, godfather au ndio vile wakati mwingine unaambiwa live "nyoosha mkono" ili upate kazi!

na sio kwamba watu wana vyeti vibovu au vipi system ndio imeshaharibika so inabidi na wewe uendane nayo hivyohivyo ili na wewe ufit nayo!

na bora huyo anayetoa mlungula ili apate kazi kuliko yule anayekwenda kwa sangoma apate ajira!

hao wazazi akili za sitimamu,yaani wamsomeshe mtoto,kazi wamnunulie mwisho wataenda ofisini kumfanyia kazi!
 
ndio wabongo tumefikia hapa? Elimu yetu inataka "total overhauled"
 
unaish TZ au dunia gani wewe?

kibongo bongo siku hizi kupata kazi utasanda kama huna reffa, godfather au ndio vile wakati mwingine unaambiwa live "nyoosha mkono" ili upate kazi!

na sio kwamba watu wana vyeti vibovu au vipi system ndio imeshaharibika so inabidi na wewe uendane nayo hivyohivyo ili na wewe ufit nayo!

na bora huyo anayetoa mlungula ili apate kazi kuliko yule anayekwenda kwa sangoma apate ajira!
pole kwa mawazo yako mgando!
 
Nina wasiwasi na weredi wa muanzisha thread hii, yamkini ni walewale digrii za chup...! Anzisha kibanda cha mama Ntilie, au la kama we' Gamba kampigie magoti rais mzembe na dhaifu
 
in life you can not understand a certain situation until you come across it in a life time,

the same situation ever happened to me, i performed well the interview but was called in a chamber and some one told me if i want a job i must give something!

after struggling hard looking for a job , what would you do if were you?

asante mkuu tunashare concerpt, kuna wangapi waliosoma sasa na wengi sana tuna kila kigezo cha kupata kazi unathani katika watu 2000 utakosa watu 50 wenye vigezo na unapataje wa2 10 wakuwaajiri? Wakati mwingine haya mambo ni muhimu ingawa c halali
 
Kuna million 1 kwa atakae fanikisha nipate post pale udom, kazi ninayo ila nataka sana hizo post ni PM kwa mawasiliano zaidi.

NB:- Naomba usichangie kama huna cha msingi cha kuongea

Nipe mimi ntakuombea kwa Mungu utapata bila tatizo
 
asante mkuu tunashare concerpt, kuna wangapi waliosoma sasa na wengi sana tuna kila kigezo cha kupata kazi unathani katika watu 2000 utakosa watu 50 wenye vigezo na unapataje wa2 10 wakuwaajiri? Wakati mwingine haya mambo ni muhimu ingawa c halali

umesomeka mkuu,hii hali inaumiza kinoma. mi pia nipo ktk hali hyo very desperate.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom