KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,722
- 12,082
Miezi michache iliyopita nilimkabidhi shemeji yangu dada yangu kwenye sendi off iliyofuatiwa na harusi ya kubwa iliyofana sana.
Wiki mbili zilizopita nilikua natembelea mitandao ya mahusiano, na mara nikakuta jina la a.k.a la shemeji yangu likuwa ninatafuta mchumba au rafiki wa kike TU wa kuchati nae.
Mi nikajipa jina na kike na kuanza ku-flirt naye.
Niliamua kujiridhishe kwa kumwomba namba ya simu, nae akanipa. Kuitest kwenye simu yangu, ika-display jina la shemeji yangu. Sikujali,,,nikaendelea ku-flit naye kimapenzi zaidi. Aliniomba namba ya simu, nikamwambia nitampa wakati muafaka ukifika,kwani alitaka tuwe tunaongea.
Huyu shemeji yangu amefikia hatua ni kuniambia kuwa hana mke na kuthibitisha hilo ameniomba aje aspend na mimi kuanzia Ijumaa kuu mpaka Jumatatu ambako Jumanne anatakiwa arudi kazini.
Yeye yuko Dar mi niko Moro, sasa wakuu nimkubalie afu akija nimtoe manundu au mnanishaurije?
Huyu shemeje yangu si atamletea ukimwi dada yangu???