Nimwambie uncle.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimwambie uncle....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by B'REAL, Sep 19, 2012.

 1. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  wapendwa wa kuu wa kaya hi,nawasalimu...week kama mbili hivi nilipata uwamisho wa kazi kwenda tanga,ikwa vile nilikuwa bado sijapata makazi nilifikia kwa uncle wangu,na kweli nilikaribiswa vizuri sana na uncle na anti,tatizo lilianza kama wiki moja kupita,siku mmoja jumapili nikwa nimejipumzisha sebuleni nikiwa na angalia tv anti alikuja tukawa tumejumuika pamoja,angalizo anti hatuja pishana sana umri na ni sister du,mtoto wa mjini,mikao aliokuwa anakaa pale sebuleni na kinguo alicho kivya kwa kweli kama rijali unaweza kutegeka,basi nikaone nitoke pale kuepusha shari nika aga naenda chumbani kupumzika, baada kama ya dakika kama 30 nilisikia mlango wa chumbani kwangu ukifunguliwa kuhamaki alikuwa anti na kanga moja,alifunga mlango na kudondosha kanga na kubaki kama alivyo zaliwa akielekea kitandani nilipo,nilipigwa na butwaa,katika mvutano wa hapa na pale niliweza kuponyoka na kutoka chumbani nikamuacha chumbani kwangu,niliamua kuondoka kabisa hapo nyumbani nikaenda matembezi...nikiwa huko alinitumia msg ''..........nakupenda sana tokea siku nilipo kuona,na mjomba ako anirizishi ninavyo taka,naomba msaada wako"kikweli nilichanganyikiwa na tokea siku hiyo na mkwepa kwepa ila naona aibu tukiwa wote na uncle na yeye.je nimwambie uncle maana bado ananitumia msg za kunitaka kimapenzi
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Rudi kwenu, usiharibu undugu sababu ya uzinzi
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Unataka kuvunja ndoa za watu wewe

  na wakiachana story itakugeuka
  itajulikana ulitembea nae

  wewe si uhame tu hapo?

  mbona ishu ndogo..how old are you?

  halafu khanga moja ikidondoka hata chupi hakuna?au?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nikisoma naona km vile stori za copy & paste!
  Ulishasoma habari za Yusufu ktk Bible?...au uliangalia picha ya zamani ya Wanigeria iliyokuwa ikiitwa The Price?
  Kama utaingia mtegoni na majaribu hayo basi utakujaondoka kwa aibu kwenye mtaa huo!
  Huwezijua huenda anatumwa na mjomba kwa nia fulani ya kukuharibia!
   
 5. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,696
  Trophy Points: 280
  aaaah TheBoss bwana!!!yaani mchango wote huo kumbe ulitaka kujua kuhusu kama alikuwa hana chupi!!!
   
 6. m

  mathew2 JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 467
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Una umri gani?? Nakuuliza hivyo maana pengine tatizo lako ni hilo. Huyo ni mke wa mjomba wewe ni mgeni hapo tumia busara pima matokeo ya kumwambia uncle. Mwachie mkewe haihitaji mjadala
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Haitasaidia kitu ukimwambia uncle wako, zaidi kuharibu ndoa yao na kuvunja amani... Kwanza tabia kama hizo za wapenzi ni bora tu pale ambapo mpenzi aone na kuvumbua tabia hio mwenyewe, la sivyo unaweza sema na asikuamini vile vile.
   
 8. Root

  Root JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,242
  Likes Received: 12,962
  Trophy Points: 280
  Kumbuka usizini,pia yule ndi uncle hebu fikiria awakute atajisikiaje moyoni amekukaribisha vizuri wewe unamgeuka na kula tunda lake. Huyo mwanamke inaonekana amezoea sasa kma mumewe hamtoshelezi si aongee nae
   
 9. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe piga alafu unasepa ndivyo wanaume unatakiwa uwe kukimbia akusaidii sana, ungemchangamsha na kama vitatu hivi alafu kesho yake unamchunia kama humjui au hakuna kilichotokea
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Mi nakushauri uondoke tena tafuta sababu mapema kabisa maana mwisho wa siku uta haribu ndoa ya uncle wako.

  Wala usimwambie uncle wako inaweza ikakuletea matatizo.
  Tumia busara hilo jambo si dogo kabisa lina weza vunja undugu kabisa.
   
 11. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,364
  Likes Received: 987
  Trophy Points: 280
  Unakijua kile kitangazo cha "tat".."tat".."tat".."tat".."tat","tat".."tat".."tat" tuko wangapi? Tulizana...
   
 12. k

  kisukari JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  tanga huko,utashushwa mshipa.hama as soon as possible.segere la huyo dada,muachie mwenyewe,asitake kugombanisha watu
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  ondoka fasta na kimya kimya bila hata kuaga asije akakuzulia mengine
  ukihamishwa unalipwa hela za kujikimu sasa kilichokupeleka kukaa kwa uncle wako nini?
   
 14. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Umwambie uncle ili iweje! Kwanini uhame, nyumba zenyewe ghali sana, cha msingi hapo we mchane huyo Aunt kuwa yeye sio type yako, na umfagilii wala nini, mwambie aondoe mawazo ya kuwa uta do nae. Nahisi anahisi unatka, ila ukimchana live humind mzigo, sidhani kama atakufosi. Kuhama ni kuongeza gharama, wkt hapo kodi hutoi, misosi unajilia, na unapata comfort zote kama kiyoyozi, sofa, godoro dodoma sasa ukienda kupanga uta enjoy hivo?
   
 15. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  I see,huyo dada anaonekana kweli ana matatizo,na usipomsaidia anaweza kutoka nnje ya ndoa,ni bora umsaidie ancle wako umfichie aibu yake na hiyo iwe ni siri yenu
   
 16. K

  Kulya JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ungefikia kwako wewe... Kwa watu ulifuata nini?! Hata kama ni mgeni, pambana uanzishe mji wako. Ondoka hapo, sio mahali salama kwa afya na usalama wako gentlemen... Angalizo, usijekuwa umemung'unya tayari ndo unaleta hapa.
   
 17. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbona unamshauri kibabe kama mmegombana mwambie kiustaarabu bana the boss
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kaka tatizo hawa viumbe wana tabia ya kisasi na kutokupenda kudharauliwa huoni kwamba anaweza kutafuta mbinu ambayo inaweza kuwa mbaya ili amkomoe jamaa maana atakuwa na hasira naye.
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ndoa ikivunjika wewe utafaidi nini?
   
 20. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah..yataka moyo! Sanaa ya bongo nzito!
   
Loading...